Tumepoteza msomi wa kujivunia Tanzania. Professor Maliyamkono ni kati ya wasomi wachache waliobobea kwenye kuandika vitabu na kufanya research za uhakika kwa nchi nyingi za Afrika
RIP Prof
====
Mchumi Mkongwe wa Elimu Profesa Teddy Maliyamkono, amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam.
Profesa Maliyamkono alifanya kazi na kuongoza Mashirika mbalimbali Kitaifa na Kimataifa ikiwemo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Aliandika vitabu mbalimbali peke yake na kwa ushirikiano kitabu cha “The Challenge for Tanzania’s Economy" (1986) pamoja na kitabu cha “Viwanda: Moving Tanzania Forward” kilichozinduliwa mwaka 2019 na Dr. Tulia Ackson Bungeni jijini Dodoma.
Pumzika kwa amani Msomi Maliyamkono🙏