Tanzia: LiverpoolFC afiwa na mwanae

Pole sana Mkuu LiverpoolFC. Mungu awatie faraja kubwa sana maishani mwenu wewe na familia nzima
 
Pole sana ndugu yangu, Mungu awape faraja kwenye kipindi kigumu.
 
Poleni sana wafiwa, Mungu awape moyo wa subira na uvumilivu mkubwa katika kipindi hiki kigumu
 
pole kamanda hakika hakuna machungu madogo ila kzi ya mola haina makosa mpe polesana shemeji yetu tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana LiverpoolFC. Mungu awajalie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
pole sana mkuu,
mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu cha majonzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom