Tanzia: LiverpoolFC afiwa na mwanae

Poleni sana wazazi, Liverpool & mkeo. Msivunjike moyo wapendwa kwani Mungu bado awapenda sana! May the soul of the little angel rest in peace........amen.
 
Nashukuruni sana ndg zangu,hakika nimempata salaam zenu na sina chochote cha kusema zaidi ya kwmb natambua sana salaam zenu tena sana na naiheshimu sana kama ilivyoada yetu humu jamvini,Zaidi ni kwmb kama alitangulia kusema Mzee wa Rula ni hakika tumempoteza mtoto leo saa tatu na nusu asubuhi ktk hosptal ya Mount Meru ambaye alizaliwa tar mwezi uliopita na ghafla tar 5/12/11 alibadilika na tukampeleka hosptali na mpk leo mauti yanamkuta na hakika Mi pamoja na familia tupo ktk wakati mgumu kwn hakika tulimpenda sana ila MUNGU mwny uweza wa yote amempenda zaidi na mtoto alikabiliwa na ugonjwa ambao madaktari wa Sefsis na sikuweza kuwanukuu vema lakini nakumbuka wameniambia hivyo na mazishi tumefanya leo hapa nyumbani. Kwa kweli wanaJF nimewakubali ktk umoja tulionao kw muda wowote mtu uitajipo. Nawashukuru wote mlioguswa na kifo cha mtoto wetu! Muwe na wakati mzuri na zaidi tumtukuze MUNGU mwenye uwezo!
 
LiverpoolFC na mke wako pamoja na familia yako nzima, nawapa pole kwa msiba uliowafika. Naomba Mungu pekee awapatie faraja na amani ya kweli.

Mzee wa Rula, ubarikiwe kwa kutupa taarifa na kuwa sababu ya Faraja kwa LiverpoolFC na familia yake.
 
LiverpoolFC na mke wako pamoja na familia yako nzima, nawapa pole kwa msiba uliowafika. Naomba Mungu pekee awapatie faraja na amani ya kweli.

Mzee wa Rula, ubarikiwe kwa kutupa taarifa na kuwa sababu ya Faraja kwa LiverpoolFC na familia yake.

Nashukuru sana Ndg yangu!
 
mkuu,Yesu mfariji akupe faraja,mpe pole shemeji yetu mwambie damu ya Yesu ni agano letu la ushindi dhidi ya Shetani,mwambie ushindi wake unakaribia never gives up!!
 
mwenzez mungu akutie nguvu wakat huu ukiwaunatafakar ukuu wake katika hali ngumu na hudhuni kubwa. Pole sana mkuu
 
Ohh.
Pole nyingi sana zimfikie yeye na familia yake.Mungu awajalie ujasiri katika kipindi hichi kigumu.

Na huyo malaika apumzike salama.
 
poleni sana familia yote ya Liverpool
Mungu awape faraja awajalie nguvu tela katika kipindi hiki
cha majonzi.
tunaamini marehemu mtoto wetu yupo peponi akishangilia na malaika
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana liimidiwe. AMINA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom