TANZIA: Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

Sawa, alkini tutahukumiwa kwa matendo yetu ndivyo tunavyoambiwa na vitabu vitukufu, tena quran ni kali zaidid kuhusu malipiziz
huoni nawewe utateswa kwa kugegeda watoto wa watu au unaangalia kwa wenzako tu kila mtu atabeba mzigo wake
 
Sasa yeye si ndiye bingwa wa kuleta picha za mafirauni ndio maana nikaomba ufafanuzi wake anaweza akawa na picha mbili tatu za jamaa akiwa kwenye harakati zake za sodoma
Hahaha nimekunywa Sana na najua huwa anasema mapadre ni wafiraji na walawiti... Ila nampuuzia kutokana na ukweli halisi unafahamika
 
Kamanda alijijenga sana kaiacha familia yake pazuri,,, pale kijitonyama anapoishi anahekalu, magari ya kila aina tena yote yana chata ndogo yenye maandishi Georgia gofl... R. I. P kamanda
 
Kumpenda mtu Kwasababu kafikwa na umauti ni unafiki, kama ni adui akiwa hai kamwe hawezi kuwa rafiki akiwa keshakufa hivyo kila mtu anacomment kulingana na hisia za moyo wake
Mtu unakuta ni jambazi ila watu huwa hawapendi asemwe tuseme mtu km Alex anamadhambi kibao lakini akifa unasikia tumepoteza mfanya biashara mkubwa mahiri
 
Back
Top Bottom