TANZIA: KakaKiiza Amefiwa na Mama Yake

TANZIA: KakaKiiza Amefiwa na Mama Yake

Ben Mugashe

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2008
Posts
999
Reaction score
618
Mama wa mwenzetu KakaKiiza leo asubuhi ametwaliwa Katika Hospital ya Muhimbili; Msiba uko Nyumba Kwake; anatarajia kumpumzisha mama yake Mpendwa Bukoba; tumkumbuke katika maombi na sala watakaoweza kufika kuwapa pole familia tunatarajia kwenda Jmosi mchana tuwasiliane

Ahsante
Ben Mugashe
(Mdogo wake KakaKiiza)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni kwa msiba..kwa walioko daslamu mtuwakilishe jamani msibani..
 
Mkuu kakakiiza alipata umaarufu kipindi kile ameleta uzi hapa wa ''Uzi wa kutupia picha yoyote ya dem mkali'' nadhani unaikumbuka ule uzi ulivyokuwa maarufu hapa, manake kila aina ya picha ya chura ilitupiwa kwenye ule uzi
Aaaah aiseee.. Nimekumbuka
 
Mama wa mwenzetu KakaKiiza leo asubuhi ametwaliwa Katika Hospital ya Muhimbili; Msiba uko Nyumba Kwake; anatarajia kumpumzisha mama yake Mpendwa Bukoba; tumkumbuke katika maombi na sala watakaoweza kufika kuwapa pole familia tunatarajia kwenda Jmosi mchana tuwasiliane

Ahsante
Ben Mugashe
(Mdogo wake KakaKiiza)

Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana kwa kuondokewa na mama mzazi

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom