Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,326
- 7,807
Poleni sana, Mwenyezi Mungu mnayemtumikia akawape faraja ya kweli.Ooh, R. I. P mama etu...... Wakati nikiendelea kuomboleza kifo cha mamangu mdogo ambae ametwaliwa leo pale mloganzila basi wacha niwaweke kwenye maombi wale wenzetu waliotangulia mbele za haki.... Hakika njia yetu ni moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh, R. I. P mama etu...... Wakati nikiendelea kuomboleza kifo cha mamangu mdogo ambae ametwaliwa leo pale mloganzila basi wacha niwaweke kwenye maombi wale wenzetu waliotangulia mbele za haki.... Hakika njia yetu ni moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzia ya fake ids huwa kuna kazi kidogo kuibadilisha taswira ya kufikirika kimawazo na kuileta kwenye uhalisia!
Labda wenzangu niwaulize, misiba hii baadaye huweza kuwatambua wahusika kamili na kilio kilipo, au ni kama msiba wa jambazi, kama ni 'kada'mwenzenu, ukisikia kauawa bila hata kujua sura wala whereabouts zake, basi una'pay attention'Kwa kutuma mchango na pole zako?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Pole sana mamie. May her soul Rest In Peace
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Poleni sana, Mwenyezi Mungu mnayemtumikia akawape faraja ya kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app