Sugarsukari
JF-Expert Member
- Mar 17, 2015
- 716
- 766
Na wala hakuna dalili za huzuni kwenye page yakeNimegoogle hilo jina. FACEBOOK huko ni mtu mwingine kabisa
Yap, ndicho nilichosema na mm jana.Itakua umekosea, mie nimempata instagram na facebook ila kwa page yake hakuna dalili wala shamrashamra za msiba sijui kwanini
Sent using Jamii Forums mobile app
hayapo n hata ufanis wa kaz unapungua kwanz siku hz wanafahamika
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Nani amethibitisha hiyo kauli wakati kwenye pikipiki walikuwa wawili tu na wote wamefariki?
Kumbe maji ya chumvi nayo hutoa povuWanawadanganya hiyo mleta habari na marehemu na mchumba wote wafuasi wa gwajima
Labda system ya ufufuo na uzima
Sent using Jamii Forums mobile app