Tanzia: Johanes Kanani apata ajali na kufariki

Hapa inaonekana tunatoa R.I.P kwa mtu ambae kwanza sio member wa humu na inawezekana kaka wa watu sio yeye aliyekufa.......Mungu naomba unisamehe tu ila wewe kaka sijui,unachofanya sicho na sijaona umuhimu wa kutuletea hapa jina la mtu bila ID yake inayofahamika hapa jf huu ni ujinga na unatuchezea akili zetu...........kama ulikuwa unajua hautataja ID yake ungekaa kimya hizo ni tabia za kishamba......yani umenikera sana maana unafanya mchezo kwenye mambo yaliyo serious tatizo mnaleta utani mpaka kwenye misiba ya watu yani umenikera sana uwa sipendi ujinga kwenye sensitive issue halafu majibu yako hayaeleweki unawaacha watu kwenye maswali......hii thread ni bora ifutwe kuliko kuangalia picha za watu tusiowajua ni sawa tu na kuwadhalilisha.......Morning everyone
 
43 Reactions
Reply
Back
Top Bottom