Tanzia: Johanes Kanani apata ajali na kufariki

So sad. Nilishuhudia ajali yake..alikuwa yy na dereva tu...

Jamani jamani boda boda hawa... Dereva wa boda boda ali over take roli na kuingia upande wa roli akitaka kuingia njia nyingine na roli liliwagonga hapo hapo ubongo na kichwa viliachana na kusambalatika jamaa alikuwa na laptop ilikatika vipande vipande. Dereva boda ndo alikuwa na makosa.

Imeniuma sana kumbe ni mwana jamii mwenzetu. I feel to cry

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Wewe ni mwana JF wa 10 sasa nakusikia ulikuwa maeneo ya ajali.

Kuna kitu naanza kukihisi hapa.

Ngoja niendelee kuunganisha dots.
 
Mbona niki search hilo jina la Johanes M Kanani wala sioni member anaitwa hivo??
Kwanini usitumie ID yake anayotumia humu tumtambue??
Hivi mfano mimi nikifa sasa hivi ukaandika Adolf Mugaza amekufa.
Na mwingine akaandika Kapena amekufa
Unadhani ipi ita sound zaidi???

Ita sound zaidi amekufa / umekufa.
 
Daahh... I have to write this with pains

Nilikuwa katika mishe zangu majira ya saa6 usiku nikiwa river side karibu na daraja. Kwa nilichoshuhudia katka ajari hii ni cha kusikitisha na kuumiza mno

Dereva wa boda alikuwa akitokea ubungo mataa kuelekea buguruni na roli likiwa uelekeo sawa, dereva wa boda alitaka ku- overtake roli ili aje aingie kulia avuke upande wa pili wakati hawako mbali na roli, bahati mbaya siku za mwisho zikifika huna pakukwepea. Walijikuta wapo katikati ya roli lililo wavamia na kuwaweka uvunguni na boda kutupwa mbali. dereva wa lori hakuwa na makosa kwa kuwa alishtuka na kuwakuta wakiwa uvunguni na baada ya hapo aliikwepa boda na kutokomea wakati jamaa wetu huyu na dereva wakiwa hawatamaniki. Kichwa hakitamaniki. ubongo ulitapakaa chini (i was there) niliumia sana na siku amini maana ni tukio la kwanza kulishuhudia katika maisha yangu. Dereva na jamaa wetu huyu maisha yao yalihitimishwa pale. Polisi walikuja na gari zao mbili walikusanya miili na kuokota ubongo wa jamaa wetu na kuuweka kwenye mfuko(i was so pain) bad enough jamaa alikuwa na laptop pamoja na kadi za harusi. Ndio leo naona wanapost humu kwamba alikuwa mwana familia.

KAKA UMETANGULIA SISI TUTAFUATA. SAFARI NI MOJA,NJIA TOFAUTI. MBELE YAKO NYUMA YETU. PUMZIKA KWA AMANI.

AMINA.

So sad ....
Amina
 
Back
Top Bottom