Tanzia: Johanes Kanani apata ajali na kufariki

Ila mleta uzi kuleta jina la mtu la uraiani alafu unasema ni mwenzetu huku ID yake umeificha nadhani hututendei haki maana humu tunatambua kwa ID zetu vinginevyo ungeileta habari tupu bila kutuambia mwenzetu maana Jodoki Kalimilo wa JF ni mtu tofauti na ninapokuwa uraiani vivyo hivyo kwa marehemu ni tofauti na anapokuwa humu
 
Nani amethibitisha hiyo kauli wakati kwenye pikipiki walikuwa wawili tu na wote wamefariki?
Yasemekana, neno la msingi ktk maelezo yangu!! Hata hivyo kwani kama alikuwa upande wa pili na watu walikuwa jirani haiwezekani?? Tiver side ina watu muda wote, hapalali pale!!
 
Back
Top Bottom