Tanzia: Johanes Kanani apata ajali na kufariki

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,399
6,077
Johanes M Kanani inasemekana alikuwa ni member wa JamiiForums, alipata ajali usiku wa kuamkia jana alikuwa abiria kwenye bodaboda ajali ilitokea saa saba usiku River Side Ubungo. Jumapili ndiyo siku aliyomvalisha pete mchumba wake na tarehe 20 mwezi huu wa nane ndio ingekuwa siku ya harusi yake.

RIP Johanes

FB_IMG_1502177918700.jpg
65ca434cff3afbfa683a8ed4b0041679.jpg

FB_IMG_1502180355096.jpg


Hapo akiwa na mchumba wake baada ya kumvalisha pete

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom