Tanzia: Johanes Kanani apata ajali na kufariki

Hapa mjini bodaboda watatumaliza. Binafsi hata iweje sikodi boda bora iwe mchana amausiku - ajali haina kinga ila haka ka utaratibu kangu kanafanya kazi maana ni mwaka wa kumi sasa bodaboda inipite tu aisee.

Sasa jamaa kamwacha mchumba maskini na mifisi ilivyo mingi kha!!! (RIP).
 
unawaza papuchi tu
 
Gone young! So sad. You are now mute and unconscious forever... pain-free, stress free!
R.I.P bro.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom