Tanzia: Johanes Kanani apata ajali na kufariki

Hivi unajua akileta ID yake atakua i Kesha vunja Sheria moja ya mtandao huu? Tena itakayo mhusu ban?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona. Kuna marehemu mmoja siku za nyuma zilizopita. Waliweka ID na picha yake na aloweka hajapewa BUN.
Au ndo itaanza Leo.
Sisi humu wengi tunajuana kwa ID, ndo maana tukaona ikiletwa ID, itasaidia watu kujua.
Ni hayo tu

Ujana haubagui.
 
Hapa inaonekana tunatoa R.I.P kwa mtu ambae kwanza sio member wa humu na inawezekana kaka wa watu sio yeye aliyekufa.......Mungu naomba unisamehe tu ila wewe kaka sijui,unachofanya sicho na sijaona umuhimu wa kutuletea hapa jina la mtu bila ID yake inayofahamika hapa jf huu ni ujinga na unatuchezea akili zetu...........kama ulikuwa unajua hautataja ID yake ungekaa kimya hizo ni tabia za kishamba......yani umenikera sana maana unafanya mchezo kwenye mambo yaliyo serious tatizo mnaleta utani mpaka kwenye misiba ya watu yani umenikera sana uwa sipendi ujinga kwenye sensitive issue halafu majibu yako hayaeleweki unawaacha watu kwenye maswali......hii thread ni bora ifutwe kuliko kuangalia picha za watu tusiowajua ni sawa tu na kuwadhalilisha.......Morning everyone
Hata mm nimrshindwa kusema chochote aisee....maana ni kama mtu anakuja nyumban kwako anakwambia mjomba wako amefarik, alafu unamuuliza mjomba yupi hasemi...mtu kama huyo ni wa kupga na kufukuza kabisa.
 
Wanajamii wenzangu hamna haja ya kulumbana humu hebu tupange jinsi ya waliopo dar wahudhurie na michango tunatuma kwa nani. Mliopo msibani hebu leteni namba hata ya mzazi wake au kaka yake yaan kwa ufupi ndugu wa karibu ili kila mtu atoe alichonacho na sio kuanza malumbano. Mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi ndugu yetu.
Mchango watu hawamjui?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa inaonekana tunatoa R.I.P kwa mtu ambae kwanza sio member wa humu na inawezekana kaka wa watu sio yeye aliyekufa.......Mungu naomba unisamehe tu ila wewe kaka sijui,unachofanya sicho na sijaona umuhimu wa kutuletea hapa jina la mtu bila ID yake inayofahamika hapa jf huu ni ujinga na unatuchezea akili zetu...........kama ulikuwa unajua hautataja ID yake ungekaa kimya hizo ni tabia za kishamba......yani umenikera sana maana unafanya mchezo kwenye mambo yaliyo serious tatizo mnaleta utani mpaka kwenye misiba ya watu yani umenikera sana uwa sipendi ujinga kwenye sensitive issue halafu majibu yako hayaeleweki unawaacha watu kwenye maswali......hii thread ni bora ifutwe kuliko kuangalia picha za watu tusiowajua ni sawa tu na kuwadhalilisha.......Morning everyone
naona kaja tafuta kiki kupitia msiba

You're absolutely right, hatamimi na pata mashaka na huu uzi, mods hebu fanyeni kaziyenu.

Otherwise ID yake iwekwe tujiridhishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora mleta mada hasitaje ID ya marehemu ili watu wasijue maoni yake na pia hii isaidie mengi kwenye maisha ya ndugu zake pia kwa aliyoyaandika humu.

R.I.P Johanes
Mbona Wengine walitajwa au hawakuwa na hadhi ya kutiwa Marehemu ni huyu tu ambaye anapashwa kkusitiriwa ID yake tu.. Hii double standard imeanza lini au ni Kwa huyu tu....
Bora hii thread ifutwe kuondoa watu kuwa na hofu ya kuwa
 
Hapa inaonekana tunatoa R.I.P kwa mtu ambae kwanza sio member wa humu na inawezekana kaka wa watu sio yeye aliyekufa.......Mungu naomba unisamehe tu ila wewe kaka sijui,unachofanya sicho na sijaona umuhimu wa kutuletea hapa jina la mtu bila ID yake inayofahamika hapa jf huu ni ujinga na unatuchezea akili zetu...........kama ulikuwa unajua hautataja ID yake ungekaa kimya hizo ni tabia za kishamba......yani umenikera sana maana unafanya mchezo kwenye mambo yaliyo serious tatizo mnaleta utani mpaka kwenye misiba ya watu yani umenikera sana uwa sipendi ujinga kwenye sensitive issue halafu majibu yako hayaeleweki unawaacha watu kwenye maswali......hii thread ni bora ifutwe kuliko kuangalia picha za watu tusiowajua ni sawa tu na kuwadhalilisha.......Morning everyone
Hii kitu nimeipigia kelele tangu jana lakini naona moderators wameuchuna tu.
 
Mbona Wengine walitajwa au hawakuwa na hadhi ya kutiwa Marehemu ni huyu tu ambaye anapashwa kkusitiriwa ID yake tu.. Hii double standard imeanza lini au ni Kwa huyu tu....
Bora hii thread ifutwe kuondoa watu kuwa na hofu ya kuwa
Kama alikuja kama anonymous katika uhai wake uamuzi wake uheshimiwe
 
Tumefiwa na member mwenzetu Johanes M Kanani alipata ajali usiku wa kuamkia jana alikuwa abiria kwenye bodaboda ajali ilitokea saa saba usiku river side ubungo jumapili ndiyo siku aliyo mvalisha Pete mchumba wake na tarehe 20 mwezi huu wa nane ndio ingekuwa siku ya harusi yake RIP Johanes View attachment 561049
65ca434cff3afbfa683a8ed4b0041679.jpg

View attachment 561052

Hapo akiwa na mchumba wake baada ya kumvalisha pete

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyezi mungu akupe pumziko la milele upumzike kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom