Poleni wafiwaTaarifa nilizozipata muda sio mrefu, aliekuwa katibu wa chama cha wasafirishaji na wapokeaya mizigo Tanzania. Ndg Edwin Michael mlay amefariki dunia kwa ajali ya gari iliotokea leo jioni marangu kilmanjaro. Edwin alikuwa kijana mchapakazi mchapakazi na mtaratibu mnoo.
Nb.
Msiba upo nyumbani kwao kimandolu Arusha.
Taarifa nilizozipata muda sio mrefu, aliekuwa katibu wa chama cha wasafirishaji na wapokeaya mizigo Tanzania. Ndg Edwin Michael mlay amefariki dunia kwa ajali ya gari iliotokea leo jioni marangu kilmanjaro. Edwin alikuwa kijana mchapakazi mchapakazi na mtaratibu mnoo.
Nb.
Msiba upo nyumbani kwao kimandolu Arusha.
Kwa wale waliosoma ilboru miaka ya tisini mwanzoni watakuwa wanamkumbuka. Pia familia ya kina edwin ndio waliokuwa na mgogoro wa kunyang'anywa nyumba eneo la mbezi na papaa msofe.
Taarifa nilizozipata muda sio mrefu, aliekuwa katibu wa chama cha wasafirishaji na wapokeaya mizigo Tanzania. Ndg Edwin Michael Mlay amefariki dunia kwa ajali ya gari iliotokea leo jioni Marangu Kilmanjaro. Edwin alikuwa kijana mchapakazi mchapakazi na mtaratibu mnoo. Nb. Msiba upo nyumbani kwao kimandolu Arusha.[/QU
Doh, RIP Edwin. Bado namkumbuka mdogo wako Fred ambaye nae alifarik kw ajali mwaka 2010 hapa Rose garden, dsm. It was so sad, coz dogo ndo alirud tu from china kuja kufunga ndoa yake, akafa wiki moja tu kabla ya harus yake. kabla hata machungu hayajafutika kbs kw familia, mara tena anaondoka Edwin. Realy unbelievable!! Mungu awape faraja.