Miongoni mwa watu waliopata kuitangaza Tanzania vyema; baada ya kampeni ya kumtaka atuzwe na taifa lake Bi. Kidude alipewa nishani na Rais Kikwete. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake marefu na yenye masimulizi. Mungu aifariji familia yake, wasanii wenzake na wale wote waliompenda na ailaze roho yake pema peponi, Amin.
usiwe na roho ya kishetani na wewe
Nani anaejuwa wapi atakwenda Peponi au Motoni Dini zote zinastahi maiti sijui wewe uko dini gani Jaribu kuwa na staha ukiweza, usipoweza nyamaza kimya hiyo ni zaidi ya kukutia kwenye matatizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.