Tanzia: Ben Kiko afariki dunia

Tanzia: Ben Kiko afariki dunia

BEN KIKO akiwa na Muhidin Issa Michuzi siku aliyotunukiwa tuzo.

IMG_0989.JPG

 
Rip kikoti.. mara ya mwisho alikua mtangazaji wa Radio ya Aden Rage inaitwa VOT ipo Tabora..
 
Apate pumziko la milele Ben Kiko.
Mwenye picha yake tafadhali.
 
RIP MZEE BEN KIKO.
NILITAMANI SIKU MOJA NIONANE NAE LIVE LAKINI MUNGU HAKUPENDA,NA PIA NASIKIA ALIKUA MLEMAVU WA MGUU NA ULEMAVU WAKE ULITOKANA NA MISUKOSUKO YA VITA VYA KAGERA.

CC Pasco
 
Last edited by a moderator:
Duuu enzi hizo alikuwa aki report toka tabora kipindi cha majira saa tatu ucku nilikuwa ckosi kukisikiliza ili nimsikie Ben kiko,, Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe R. I. P
 
aiseee kiongozi wetu ben kiko umetuacha aingii akilini kabisa hii

poleni wafiwa wote mliofikwa na jambo hili Mungu awatie nguvu
kwa kipindi hichi kigumu

poleni rtd kwa sasa ni tbc Mungu awape faraja kuu

Rip kiko
 
RIP,nakumbuka at kipindi cha majira saa 12.30,akiripoti kutoka tabora
 
Back
Top Bottom