Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
Mnaikumbuka kesi ya Kaizerege, jamaa alikuwa anaripoti hiyo kesi miaka hiyooo
Yeah, alikuwa mahiri na anafanya upende kuisikiliza habari yake! RIP Ben Kiko.
Mnaikumbuka kesi ya Kaizerege, jamaa alikuwa anaripoti hiyo kesi miaka hiyooo
Mkuu huko fani zote!!!
anaitwa Ben Hamis Kikoromo na sio hivo ulivomuita
RIP Ben Kiko!! Msalimie Michael Katembo, Marina Hassan, Julius Nyaisanga, Juma Nkhamia na shabani kissu
anaitwa Ben Hamis Kikoromo na sio hivo ulivomuita
Kwani Juma Nkamia, Marina Hassani na Shaban Kisu, hivi na hawa walishatangulia mbele ya haki!!!!!RIP Ben Kiko!! Msalimie Michael Katembo, Marina Hassan, Julius Nyaisanga, Juma Nkhamia na shabani kissu
Hao nao wameshakufa? Kweli taarifa nyingi zimenipita
Jina lake halisi alikuwa no BENJAMIN KIKOTI. Umaarufu wake ulikuwa mkubwa Wakati wa vita yetu na Uganda. Huyo jamaa alikuwa anaripoti akiwa mstari wa mbele. RIP Kikoti
INNOCENT CHACHA sijui mtoro katoa wapi taarifa hizi za akina juma nkamia na shaban kisu...
manake nijuavyo hawa watu wapo hai kabisa na juma nkamia nimemwona juzi kwenye maadhimisho ya sanaa na kisu pia ana kipindi chake TBC 1 cha TCRA..
Labda kama mimi nakosea