Tanzia: Ben Kiko afariki dunia

Tanzia: Ben Kiko afariki dunia

Na Wewe kwa umbea, stock ni nini? Sasa hapo Mkuu angeishika kwa mkono gani? Maana kama angeweka mkono Wa kulia picha ingeharibika!!
Sio umbea mkuu,halafu nilimaanisha strock/pararaizi(kupooza).
 
r.i.p Ben,ukimuona Halima Mchuka mwambie tunaimiss sana sauti yake hasa tukimkumbuka wakati anatangaza mpira,pia usisahau vile vile kumfikishia salamu mzee wangu David Wakati mwambie nae vijana wake tunamkumbuka sana.
 
halima mchikis
 
This guy was a great entertainer. During his time I had never wanted to miss Majira. Huyu ni Ben Kiko, Majira Dodoma. RIP:embarrassed:
 
RIP mzee wa MAMBO HAYOOO!!
aliripoti taarifa za vita ya Uganda bila kuchakachua!
eg. alisema wajeda wa tz walipigwa na kutawanyika kama kondoo wasio na mchungaji!
 
Back
Top Bottom