kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,685
Raha ya Milele umpe ee Bwana!
...na nuru ya milele umwangazie, marehemu mzee wetu Ben Hamis Kikoloma...!
Raha ya Milele umpe ee Bwana!
Tanzia
Aliekuwa Mtangazaji maarufu wa radio Tanzania (TBC) mzee BEN KIKO amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo 31/10/2014 kwenye hospital ya jeshi mirambo Tabora.
R.I.P Mzee wetu....nakumbuka zamani mwanaume aliekuwa 'mmbeammbea' kama warumi tulikuwa tukimuita Ben Kiko....kitambo sana!

JAMAn i wish ningemjua huyo mzee, R.IP
Tanzia
Aliekuwa Mtangazaji maarufu wa radio Tanzania (TBC) mzee BEN KIKO amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo 31/10/2014 kwenye hospital ya jeshi mirambo Tabora.
![]()
R.I.P BEN
Uki angalia vizuri hiyo picha jicho la upande wa kulia utagundua Ben K alipigwa au kukoswa na stock na ndio maana hiyo tuzo kashika kwa mkono wa kushoto.....R.I.P "Mwana kipindi cha majira"