Tanzia: Ben Kiko afariki dunia

Tanzia: Ben Kiko afariki dunia

Jina lake halisi alikuwa no BENJAMIN KIKOTI. Umaarufu wake ulikuwa mkubwa Wakati wa vita yetu na Uganda. Huyo jamaa alikuwa anaripoti akiwa mstari wa mbele. RIP Kikoti

R.I.P Ben Kiko
 
RIP...Alikuwa anatiririka vilivyo ziara ya Pope John Paul II pale Tabora
 
Duh!! Jameni!! RIP Ben Kiko, Mungu awatie nguvu wafiwa wote
 
RTD ilizoa wasikilizaji wengi waksati huo kwa ajili ya umahili wake
 
Namkumbuka ben kiko enzi hz rtd, ilikuwa rtd kweli,siyo hawa wahuni wa sk hz,ben akisoma habari ya majanga au maafa mwili unakusisimka, waandishi ninaowakumbuka ni situnga steven, jacob tesha paul, karim besta,ahmed kipozi,sala dumba,malima ndelema kipindi chake cha mkoa kwa mkoa,bujaga kizengo kadago,
 
Ben Kiko tulikuwa naye kipindi fulani huko mstari wa mbele kwenye vita vya KAGERA alikuwa mtangazaji mzuri sana w3a wakati ule RTD.
 
Hakika sisi sote ni viumbe wa mwenyezi mungu na kwake mwenyezi mungu(muumba wa mbingu na ardhi) tutarejea. R.I.P Kiko
 
weka picha basiii,wengine dot com jamaani
mie nimezaliwa wakati wa TBC hiyo RTD sikuwepo
RIP kiko
Mkuu wala usihangaike!hata hao wazamani walikuwa hawamwoni,wanamjua kwa sauti tu,au labda kama alishawahi kufanya kazi TVZ(now ZBC)
 
rest in peace Ben,kweli jamaa alikuwa mkali katika kuripoti taarifa hadi zilikuwa zinasisimua
 
Jina lake halisi alikuwa no BENJAMIN KIKOTI. Umaarufu wake ulikuwa mkubwa Wakati wa vita yetu na Uganda. Huyo jamaa alikuwa anaripoti akiwa mstari wa mbele. RIP Kikoti

jina lake halisi ni HAMIS KIKOLONZI kikolonzi ni ubin wake sasa alikuwa anajiita ubini wake BEN KIKO alikuwa mrefu mtu wa huko tabora alipo kuwa dodoma alikuwa mcheshi kwa kila mtu polen watani zangu wa Tabora
 
Jina lake halisi alikuwa no BENJAMIN KIKOTI. Umaarufu wake ulikuwa mkubwa Wakati wa vita yetu na Uganda. Huyo jamaa alikuwa anaripoti akiwa mstari wa mbele. RIP Kikoti
Hapana alikuwa anaitwa Bernard Kikoloma.alale pema.

Namkumbuka ben kiko enzi hz rtd, ilikuwa rtd kweli,siyo hawa wahuni wa sk hz,ben akisoma habari ya majanga au maafa mwili unakusisimka, waandishi ninaowakumbuka ni situnga steven, jacob tesha paul, karim besta,ahmed kipozi,sala dumba,malima ndelema kipindi chake cha mkoa kwa mkoa,bujaga kizengo kadago,
Nashukuru kwa kunikumbusah majina haya wakati huo niko Primary school miaka ya 47. Lakini siku nyingine yaandike vizuri kwa kuanza na herufi kubwa kwa jina kama hivi Jacob Tesha Paul, Karim Besta, Ahmed Kipozi, Sala (Sarah ?) Dumba, n.k.

Anyway R.I.P Ben Kiko, kulikuwa na habari kuwa aliondolewa Dodoma kisa kuna wakati aliripoti kuwa wabunge hawahudhulii vikao (hii ni kweli hadi leo) bali wanakuwa kwenye mambo yao, basi nasikia wakashinikiza ahamishwe mara moja.
 
Huyu ndiyo marehemu Ben Kiko
mwan.jpeg
 
Rip ben kikoti utakumbukwa daima katika mchango wako wa kumuondoa nduli idd amin dada
 
Back
Top Bottom