Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,407
- 100,612
Lutheran na Roma ni makanisa mawili tofauti, maelezo ya mleta taarifa yamejitosheleza.
Pumzika kwa amani baba Askofu Mushemba. Huyu ni kati ya wala maaskofu ambao walikuwa hawapindishi mambo. Kwake mambo yote aliyanyoosha na yakanyooka.Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, nazo zimejaa taabu na shida. Hapa duniani sisi ni wasafiri na wapitaji hatuna mji udumuo. Hakuna vita umevipiga, imani umeilinda na hatimae mwendo umeumaliza. Pumzika kwa amani
Ujumbe maridhawa. Dunia tunapita. Mliomshambulia Lisu mjue mwendo wenu nanyi utafika mwisho. Hesabu zenu zitafungwa na kuhesabiwa! johnthebaptistAmemaliza mwendo wake, na hesabu zake zimefungwa sisi tulio hai Bwana atujalie hekima tuzihesabu siku zetu za rehema tunazopewa ili tutembee sawa na mapenzi
Bwana awafariji familia na washirika wote
AmenPumzika kwa amani baba Askofu Mushemba.Huyu ni kati ya wala maaskofu ambao walikuwa hawapindishi mambo.Kwake mambo yote aliyanyoosha na yakanyooka.Mungu alisimamia maamuzi yake kwa kweli na yakitoka yalipigwa muhuri wa moto.Kila nafsi itaonja mauti.Pumzika kwa Amani Baba.
KKKT