Tanzania's House Speaker, Job Ndugai's treatment in India sets the world record as the most expensive EVER for a single medical procedure!

Hili lijamaa sjui kwanini Mungu huwachukua wema na kuwaacha walio wabaya
For patients in need of an intestinal transplant, the average cost is a whopping $1,206,800 – the most expensive medical bill issued for a single procedure in the United States and probably in the world. Why so expensive?

It’s complex.
A transplant can take up to 12 hours to perform. While the majority of the cost of an intestinal transplant goes into hospital admission, procuring the organ alone costs tens of thousands of dollars, mostly for donor and recipient tissue typing and evaluation, and preserving the organ. The donors themselves cannot be paid.

A long recovery. The medical bill continues to stretch well after the surgery is over, given the need for rehabilitation, follow-up care, and the administration of anti-rejection drugs, or immuno-suppressants, that tell your body not to attack the transplanted organ. Hospital stays for intestinal transplants can last for several months.

It’s super risky. Intestinal transplant surgery carries a 50-50 mortality rate. Patients waiting to receive an intestinal transplant must have a life-threatening condition to warrant the surgery’s risk, including intestinal failure due to Crohn’s disease, short bowel syndrome, a digestive disorder, or advanced liver disease.

This medical procedure cost probably held the world record until the year 2017 when Tanzania's speaker Hon. Job Ndugai underwent an undisclosed procedure in India for an undisclosed ailment and the medical bill is claimed to be a whopping
$12,000,000!

So far efforts to get more information about the treatment from relevant sources have not been successful. If confirmed to be true this medical bill, which is more than ten times that of the most expensive in the United States, sets the new world record!
 
Hebu jaribu kupitia thread hizi...
Kama kuna vitu viliyojaribu kufichwa toka awali, ni hivi vitatu...
  1. Ugonjwa uliokuwa unamsumbua Ndugai
  2. Hospitali alikokuwa anatibiwa Ndugai
  3. Gharama ya matibabu ya Ndugai
Kutotolewa kwa taarifa zinazotosheleza kuhusu ugonjwa na matibabu ya Ndugai kumelazimisha baadhi yetu kujenga hisia kwamba kuna jambo linafichwa...kwa nini Ndugai? Kumbuka, mficha ficha maradhi, kilio humuumbua. Wakati wengine kufunika vichwa vyao mchangani, wapo wazalendo hukesha wakiuliza kulikoni na hivyo huzama katika utafiti. @ilisha junior, katika dunia ya sasa unao uchaguzi, ama usubiri kila kitu utafuniwe au uanye jitihada ujue kinachoendelea, kalaghabaho!.
Mkuu Mag3 , this is not fair, ugonjwa wa mtu ni siri ya mgonjwa na dakitari wake, hivyo swali la kwanza is not a valid question.

Swali la pili la hospital gani, japo ni valid questions lakini inaweza isitatwe kwasababu za kimaadili, maadam tayari the bill is big, kuitaja hospital ni kuchafua tuu jina la hospital ya watu.

Swali la tatu la gharama za matibabu ni kama ilivyo kwa ugonjwa wa mtu ni siri ya mgonjwa na whoever footing the bill.

Tanzania tuna kada ya viongozi ambao wakiugua wanaruhusiwa kutibiwa nje ya nchi, nchi yoyote kwa gharama yoyote!. Hawa ni wale:-
  1. viongozi wakuu 6 wa kitaifa, Rais, VP, PM, Rais wa Zanzibar, Makamu I na Makamu II.
  2. Wakuu wa mihimili, Spika na Jaji Mkuu
  3. Wakuu wa vyombo vya Ulinzi, CDF, DGIS, IGP, DG PCCB, CI, CP, CFB
  4. Constitutional Officials, CAG, CS, Majaji, Wasajili, Wenyeviti na Makatibu wa Tume.
  5. Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma, kuanzia ma KM, Gavana, Wakurugenzi Wakuu etc.
Kwavile matibabu popote ni haki yao, it's not fair kuziulizia gharama in public. Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere alipotibiwa St. Thomas Hospital, London, hakuna aliyeulizia gharama, JK alipotibiwa Marekani, hakuna aliyeulizia gharama, Gavana Balali alipotibiwa Marekani, hakuna aliye ulizia gharama. Hata gharama za matibabu ya JPM, pia hakuna atakayeulizia, why kuulizia matibabu ya Spika wetu?.

Let's be fair to all. Kama kiongozi ni haki yake kutibiwa popote to save his life, then lets save lives hata kama it's to depletes mfuko Mkuu wetu wote wa hazina to save lives of our leaders, be it!.
P
 
For patients in need of an intestinal transplant, the average cost is a whopping $1,206,800 – the most expensive medical bill issued for a single procedure in the United States and probably in the world. Why so expensive?

It’s complex.
A transplant can take up to 12 hours to perform. While the majority of the cost of an intestinal transplant goes into hospital admission, procuring the organ alone costs tens of thousands of dollars, mostly for donor and recipient tissue typing and evaluation, and preserving the organ. The donors themselves cannot be paid.

A long recovery. The medical bill continues to stretch well after the surgery is over, given the need for rehabilitation, follow-up care, and the administration of anti-rejection drugs, or immuno-suppressants, that tell your body not to attack the transplanted organ. Hospital stays for intestinal transplants can last for several months.

It’s super risky. Intestinal transplant surgery carries a 50-50 mortality rate. Patients waiting to receive an intestinal transplant must have a life-threatening condition to warrant the surgery’s risk, including intestinal failure due to Crohn’s disease, short bowel syndrome, a digestive disorder, or advanced liver disease.

This medical procedure cost probably held the world record until the year 2017 when Tanzania's speaker Hon. Job Ndugai underwent an undisclosed procedure in India for an undisclosed ailment and the medical bill is claimed to be a whopping
$12,000,000!

So far efforts to get more information about the treatment from relevant sources have not been successful. If confirmed to be true this medical bill, which is more than ten times that of the most expensive in the United States, sets the new world record!
Mkuu Mag3 , this argument is not valid and not fair argument. Kama ingeletwa na mtu mwingine yoyote wa humu jf, it would be right, but not you, kwasababu wewe unajua wazi, hizo gharama zote sio za matibabu, yaani medical bill bali ni including associated costs.

Nimesema of all the people it would have been right but not you kwasababu wewe unaijua break down ya hizo costs na ni wewe ulituletea bandiko la cost break down ya matibabu ya Spika nchini India.
Kwa uchambuzi wa ripoti ya CAG, Bw. Job Ndugai alikaa India kwa miezi mitano, sawa na siku 150. Kwa siku moja alilipwa posho ya dola 500 sawa na Sh. 1,160,100.00, na hivyo kwa miezi mitano alilipwa dola 75,000 sawa na Sh. 174,015,000.00.

Akiwa India alikuwa na wasaidizi wawili – maana alihamishia ofisi yake huko huko hotelini. Kwa gharama ya dola 450 sawa na Sh. 1,044,090.00 kila moja kwa siku, walilipwa dola 900 sawa na Sh. 2,088,180.00 kwa siku. Kwa siku 150 walizokaa India, walilipwa dola 135,000 sawa na Sh. 292,950,000.

Kwa ujumla, matibabu ya Ndugai kwa miezi mitano huko India yalitumia posho za sh. 466,965,000. na hapo bado gharama za hospitali huko India, na tiketi za ndege kwa watu wote hao, na bado gharama alizokuwa anatumia mkewe.

Takwimu hizi zilikuwa ni kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika hospitali za India.

Wakati huo huo tusisahau kuwa Bw. Job Ndugai aliendelea kupata mshahara wake na posho zake kama Spika wa Bunge ambazo idadi yake naomba kama kuna watu humu wanazijua watusaidie kuzitoa.

Hakuna anayejua kwa uhakika Bw. Job Ndugai alikuwa anaumwa ugonjwa gani uliosababisha hadi ofisi yake ihamishiwe 5-star hotel nchini India ambako alichukua VIP suite nzima. Mpaka sasa
gharama za matibabu yake ni siri kama ulivyo ugonjwa wake.

UPDATE:

Soma pia

Hivyo haiwezekani iwe ni wewe tena utuletee jumla Mkuu na kuiita yote ni medical bill!.

Pili sio kwenye intestinal transplant ndio the most expensive single procedure. The most expensive ni heart transplant ikifuatiwa na double lung ndio ije hiyo.

Na tukija kwenye matibabu, kuna maradhi ni more expensive to treat kuliko hata transplant. Kuna mtoto ametibiwa kwa dola milioni 27!. Kuna worlds record ya hospital bili ni dola trilioni 2.7!.
Mimi mwenyewe nimetibiwa nje, tatizo langu ni dogo tuu, brachial plexus injury ya mkono, nimefanyiwa neural stimulator implant, ya Wamarekani, nikisema bili yake humu, watu mtakimbia!. Kwa vile ugonjwa ni siri ya mgonjwa, daktari wake na familia, kulizungumzia hili ni kumsimanga mgonjwa!. Nashauri tuliache!.
P
 
Mkuu Mag3 , this argument is not valid and not fair argument. Kama ingeletwa na mtu mwingine yoyote wa humu jf, it would be right, but not you, kwasababu wewe unajua wazi, hizo gharama zote sio za matibabu, yaani medical bill bali ni including associated costs.
Pascal Mayalla, tunachojua sisi walipa kodi ni kwamba Spika Ndugai pamoja na msafara wake waliondoka kuelekea India kwa matibabu mwezi wa December, 2017

Tunachojua sisi walipa kodi ni kwamba Spika Ndugai pamoja na msafara wake walirejea nchini baada ya matibabu mwezi April, 2018.

Tunachojua sisi walipa kodi ni kwamba Spika Ndugai alichotewa kodi zetu na mwendazake (wakati huo Rais wa wanyonge) kiasi cha dola milioni 12 kwenda kutibiwa nchini India.

Tusichojua sisi walipa kodi ni kwamba Spika Ndugai alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani hadi achotewe kiasi hicho kikubwa cha kodi zetu.
 
Pascal Mayalla, Tusichojua sisi walipa kodi ni kwamba Spika Ndugai alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani hadi achotewe kiasi hicho kikubwa cha kodi zetu.
Mkuu Mag3, kama imeishakubalika ugonjwa wa mtu ni siri yake, daktari wake na familia yake, please let it be that way!. Kwa nini Ben alipokufa, ugonjwa wake haukutajwa kwenye taarifa rasmi?. What if the real cause of death ya naniliu, sio huo ugonjwa uliotajiwa?. Tukiisha kubaliana ugonjwa wa mtu ni siri ya mtu na daktari wake na familia yake, lets respect this!.
P
 
Back
Top Bottom