Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,601
- 217,992
Aiseeee !!!! kwa hali hii utaachaje kuingia na bundi bungeni ?It’s $12 millions Sir or equivalent to 28 billion shillings.
Aiseeee !!!! kwa hali hii utaachaje kuingia na bundi bungeni ?It’s $12 millions Sir or equivalent to 28 billion shillings.
kuna uzi wangu wa CAG aongezewe ulinzi, ngoja niufufue
😆😆😆😆😆Huyu Spika wa CCM aingizwe kwenye Geuness World Book wasisahau kuambatanisha na ile picha aliyempiga mgombea mwenzake rungu la kichwa
Wamiliki wa Guinness Book of World Records bado wanasubiri tu ithibitishwe kama kweli hela zote hizo zililipwa kihalali na hayo malipo yalipokelewa na hospitali la sivyo kutakuwa na maswali yanayohitaji majibu. Bahati yao mafisadi ni kuwa Wahindi nao ni wale waleeee, wamekuwa wakifaidika kula na vipofu kama sisi tokea kipindi kirefu.Huyu Spika wa CCM aingizwe kwenye Geuness World Book wasisahau kuambatanisha na ile picha aliyempiga mgombea mwenzake rungu la kichwa
Hii hela haitoshi kujenga vituo vya afya wilaya kadhaa kwenye nchi masikini kama Tanzania?This medical procedure cost probably held the world record until the year 2017 when Tanzania's speaker Hon. Job Ndugai underwent an undisclosed procedure in India for an undisclosed ailment and the medical bill is claimed to be a whopping $12,000,000!
Jamani mlitaka afe ? Nani angeendesha bunge kwa waledi !? Ndungay hazina ya taifa
Ngoma 'draw'.Kwakuwa anamsujudia Mungu wa Tanzania yeye hawezi kuhojiwa na yoyote.
Najaribu kujumlisha hapa hizo organ zote...Here’s What Every Organ in the Body Would Cost to Transplant
View attachment 1149395
Ndgai ametisha, terrible!
And they call us "Wanyonge".They call themselves "wazarendo" or "msemakweli mpenzi wa mungu"
Duh!!!
Chama cha mafisadi na kulindana katika ubora wake!!!
Sijui zinatafutwa noti za uchaguzi angali mapema?!!!!
Pengine hiyo ilikuwa ni gharama za kuhamishia ofisi ya Bunge huko India si matibabu peke yake.Ndugu yangu dola 12,000,000 ni sawa na Tsh. 30,000,000,000 na imetumika kutibu ugonjwa usiofahamika! Anayedaiwa kutibiwa, kwa matendo yake, anaonekana kama vile sasa ndio anahitaji matibabu kweli kweli!
Masikini acheni tufe tu kwa kweli. Sad !!!Here’s What Every Organ in the Body Would Cost to Transplant
View attachment 1149395
Ndgai ametisha, terrible!