Tanzanians to witness Solar Eclipse Spectacle on Sunday

Tanzanians to witness Solar Eclipse Spectacle on Sunday

Kuna wakati fulani nilishawahi kushuhudia "Total Solar Eclipse" na so far it's the longest in the history...aisee ni kitu kizuri sana na hadi leo ninazo picha zake.

Giza liliingia ghafla na wale wadudu waliao usiku ghafla wakaanza kupiga kelele, mfumo wa upepo ukabadilika na hali ya kibaridi kama kile cha usiku ikatamalaki.
Daaaaaaaaaaaaamn!
 
SEprimer_Page_1.jpg SEprimer_Page_2.jpg SEprimer_Page_3.jpg SEprimer_Page_4.jpg SEprimer_Page_5.jpg SEprimer_Page_6.jpg
 
Attachments

  • SEprimer_Page_7.jpg
    SEprimer_Page_7.jpg
    305 KB · Views: 111
Saa ngapi na wapi mkuu?

Mwezi utakapo patwa na jua Tanzania,Kenya Uganda ,Rwanda,burundi,Kongo kinshasa,kongo Brazaville, na nchi zote za Afrika pia na bara la Amerika na visiwa vya jamaika Cuba na Brazil anagalia huo mstari mwekundu ndio nchi zitakazo athirika kwa kupatwa kwa mwezi.Kutakuwa na Giza la muda.

path720.png

The dark strip in the center indicates the best locations for viewing the eclipse. Here, the Moon moves centrally in front of the Sun.

The eclipse is also visible in the areas that are shaded red, but less of the Sun's disk is obscured. The fainter the red shading the less of the Sun's disk is covered during the eclipse. chanzo.
Nov 3, 2013 Total Solar Eclipse
 
Nimeona Mkuu thanks. Ila huku niliko sijui kama nitaona hiyo kitu.
 
Napata ugumu kidogo, ukianzia ile picha ya kwanza kabisa inaelezea Jua Kupatwa (Solar Eclipse), ukishuka kwenye maelezo ya chini yanaelezea mwezi kupatwa(Lunar Eclipse), ukiendelea kwenye description zilizoandikwa kwa Kiingeleza ni kama zinaonyesha Jua ndo litapatwa (Solar Eclipse) na sio mwezi kupatwa (Lunar Eclipse),hasa kwenye hicho kipengele kinachosema the moon will move in front of the sun, maana yake ni kwamba jua ndo litapatwa, so clarify mkuu . pia naomba kujua muda ili na mimi niji-adjust kwa masaa ya Africa Maharishi nisije nikasubiri mwezi kupatwa usiku kumbe ni jua kupatwa mchana

heshima mbele
 
Mkuu MziziMkavu kipi ni kiswahili sahihi,kati ya "jua litakamatwa na mwezi au mwezi utakamatwa na jua" in context of the coming event namely 3 November 2013!
 
Last edited by a moderator:
Ni vyema km litapatwa nikiwa bar hili nilale mbele na bill!!
 
Mwezi utakapo patwa na jua Tanzania,Kenya Uganda ,Rwanda,burundi,Kongo kinshasa,kongo Brazaville, na nchi zote za Afrika pia na bara la Amerika na visiwa vya jamaika Cuba na Brazil anagalia huo mstari mwekundu ndio nchi zitakazo athirika kwa kupatwa kwa mwezi.Kutakuwa na Giza la muda.

path720.png

The dark strip in the center indicates the best locations for viewing the eclipse. Here, the Moon moves centrally in front of the Sun.

The eclipse is also visible in the areas that are shaded red, but less of the Sun's disk is obscured. The fainter the red shading the less of the Sun's disk is covered during the eclipse. chanzo.
Nov 3, 2013 Total Solar Eclipse
Mkuu mzizimkavu kwanini wanasema nchi ya Uganda ndiyo itayoathirika zaidi?
 
Hatari sana, inasemekana ndio dalili kubwa ya kiama ndio itakuwa vile, sa isije kuwa kesho ndio kiama chenyewe.
 
Katika matukio kama haya ninachopenda ni kuona pale Wanyawa na Ndege hukimbilia viotani na kuanza kulala... ila hustuka baada ya kuona mwangaza tena.... niliona miaka ya nyuma viboko Nyati wakijiegesha chini na kuanza kuutafuta usingizi....
 
Unaokamatwa siku zote ni Mwezi Sio jua Kiswahili fasaha Mwezi kukamatwa na Jua. Na Sio jua kukamatwa na mwezi.
He! Sayansi kweli ngumu.
Kwa hiyo waliosema kuna matukio mawili tofauti yaani Solar eclipse na
Lunar eclipse ni wajinga.
 
Back
Top Bottom