King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,433
- 88,780
Muda tuliambiwa 02:05 pm miwani maalumu sina na beseni la kuwekea maji sina itabidi nisiliangalie tu ntafuatulia changes za mwanga tu.
He! Sayansi kweli ngumu.
Kwa hiyo waliosema kuna matukio mawili tofauti yaani Solar eclipse na
Lunar eclipse ni wajinga.
Ni vyema km litapatwa nikiwa bar hili nilale mbele na bill!!
Nasikia pia leo ndo kiama..
Kiama kitatokea Siku ya ijumaa lakini siku hiyo ya ijumaa anaye juwa ni peke yake Mwenyeezi Mungu ijumaa gani?
Napata ugumu kidogo, ukianzia ile picha ya kwanza kabisa inaelezea Jua Kupatwa (Solar Eclipse), ukishuka kwenye maelezo ya chini yanaelezea mwezi kupatwa(Lunar Eclipse), ukiendelea kwenye description zilizoandikwa kwa Kiingeleza ni kama zinaonyesha Jua ndo litapatwa (Solar Eclipse) na sio mwezi kupatwa (Lunar Eclipse),hasa kwenye hicho kipengele kinachosema the moon will move in front of the sun, maana yake ni kwamba jua ndo litapatwa, so clarify mkuu . pia naomba kujua muda ili na mimi niji-adjust kwa masaa ya Africa Maharishi nisije nikasubiri mwezi kupatwa usiku kumbe ni jua kupatwa mchana
heshima mbele
Sayansi ni kweli ngumu na Wana-Sayansi wanabahatisha mambo mengine hawasemi ukweli Mwezi ndio utakao kamatwa na jua sio jua kukamatwa na mwezi ( Lunar eclipse) Siku Jua likikamatwa na mwezi ndio itakuwa siku ya Kiama siku ya ufufuo au siku ya hukumu kwa imani za dini.He! Sayansi kweli ngumu.
Kwa hiyo waliosema kuna matukio mawili tofauti yaani Solar eclipse na
Lunar eclipse ni wajinga.
Unaokamatwa siku zote ni Mwezi Sio jua Kiswahili fasaha Mwezi kukamatwa na Jua. Na Sio jua kukamatwa na mwezi.
He! Sayansi kweli ngumu.
Kwa hiyo waliosema kuna matukio mawili tofauti yaani Solar eclipse na
Lunar eclipse ni wajinga.
hivi unaweza kuona kupatwa kwa mwezi(lunr eclipse) ukiwa kwenye dunia?
Sayansi ni kweli ngumu na Wana-Sayansi wanabahatisha mambo mengine hawasemi ukweli Mwezi ndio utakao kamatwa na jua sio jua kukamatwa na mwezi ( Lunar eclipse) Siku Jua likikamatwa na mwezi ndio itakuwa siku ya Kiama siku ya ufufuo au siku ya hukumu kwa imani za dini.
Oh kweli nilisahau kama ikitokea ijumaa, asante kwa kunikumbusha.Kiama kitatokea Siku ya ijumaa lakini siku hiyo ya ijumaa anaye juwa ni peke yake Mwenyeezi Mungu ijumaa gani?
Sayansi ni kweli ngumu na Wana-Sayansi wanabahatisha mambo mengine hawasemi ukweli Mwezi ndio utakao kamatwa na jua sio jua kukamatwa na mwezi ( Lunar eclipse) Siku Jua likikamatwa na mwezi ndio itakuwa siku ya Kiama siku ya ufufuo au siku ya hukumu kwa imani za dini.
Ni vyema km litapatwa nikiwa bar hili nilale mbele na bill!!
Kwa Tanzania itaanza saa nane na dakika ishirini na nne mchana na kumalizika saa kumi na moja na dakika ishirini na nane jioni!kuna yeyote anayejua ni saa ngapi?
Mbona hamsemi saa ngapi? Kwa huku East Africa?
hatishi lolote huyu ana asili ya wizi!mkuu umetisha...