Bushasha ❤❤❤Kwa walioko Kagera ...maeneo ya Kishanje, Bushasha, Kanyigo wanashuhudia... huko Ghana wameona kuanzia saa tisa saa sita saa za huko. Pia waweza kufuatilia kupitia R.T >>>>http://rt.com/on-air/total-solar-eclipse-kenya/
Watu wa Morogoro wameshidwa kufaidi haya baada ya wingu zito la mvua kufunika Jua...