Tanzanian-Jamaican Wedding in New York

Tanzanian-Jamaican Wedding in New York

Mwenzangu mwanamke kusutwa sunna atii heheheheee, kile kicheko cha ukweli mambo ya kidhungu hapo jamaa (mTZ/mMALAWI) alikuwa anasoma vows kwa bibi harusi wake ndo maana bibie kacheka hadi mwisho ukute aliambiwa ukizaa mtoto wa kike kwanza ntamlea kama mama yaani kumlisha, kumuogesha, kumbadili pampas n.k kitu amacho nadra kufanywa na wabongo.
Sasa hiyo ndoa ya kwetu hapo kwanza bibie kanuna na bwanaharusi anasonya kabisa kama si kung'ong'a yaani hapo kama wamelazimishwa au sijui ndoa ya mkeka hahahahaaaa
ahaaaa utasutwa wewe ila kile kicheko picha ya kwanza is it real!...au swaga za huko kwa boksi maana huku bongo kwenye kuapishwa mmmmh
76092_632523410112429_603235643_n.jpg
 
Hapana, sijawahi hudhuria multicultural wedding yoyote ile, zangu ni za huku uswahilini kwetu. Niliuliza vile kwa sababu articel inaongelea Afrocentric & Afro-Caribbean traditions wakati picha ni kinyume chake ukiachilia majani makavu ya migomba katika kikapu na neckties za vitenge.

Article inadai wafunga ndoa wenyewe ni multi-cultural?

Ndoa ilifungiwa New York.

Ring imetengenezwa na material kutoka Bongo.

Wedding cake ilikuwa decorated na African fabric.

Walichagua aqua blue and a bold yellow kama rangi za harusi kwa sababu zinawakumbushia bahari na jua

Walitumia fabrics and handmade crafts kutoka Bongo.

Walitumia AZVKA, Afrikart, and Yara for table runners and wedding attendant accessories.

Walitumia vintage African gin bottles kutoka Nigeria kama vases.

Waliburushishwa na steel pan band utamaduni wa Kijamaica?

They incorporated Junkanoo, a traditional carnival held in the Bahamas each year.

Bado hivi havitoshi?
 
Japo kuna mtu (m-TZ anaishi ughaibuni yuko 39 na hajaoa, was shocked ofcourse nikamwambia, "are u sick" na alichukia ujue....) aliniambia haelewi kwanini wabongo wanaoa mapema akitolea mfano kina Jay Z umri wake na wa mtoto wake means kachelewa kuoa, Obama umri wake na umri wa watoto wake means kachelewa kuoa sasa huyu anayeishi ughaibuni mbona kaoa yanky kabisa?

Sidhani kama kuna muda ambao lazima mtu awe ameoa.

No one should be forced to marry kwa sababu tuu umri unaenda.

Kuoa ni suala binafsi.
 
Kuoa ni suala binafsi.

Kwa wabongo wengi wanaoweka marital statuses zao kwenye resume hiyo bado ni foreign concept.

Kwao kuoa/kuolewa ni lazima na usipofanya hivyo una kasoro. Tena unatakiwa uoe/uolewe ndani ya umri fulani.

Kinyume na hivyo utatetwa kila kona na pembe.
 
Mwenzangu mwanamke kusutwa sunna atii heheheheee, kile kicheko cha ukweli mambo ya kidhungu hapo jamaa (mTZ/mMALAWI) alikuwa anasoma vows kwa bibi harusi wake ndo maana bibie kacheka hadi mwisho ukute aliambiwa ukizaa mtoto wa kike kwanza ntamlea kama mama yaani kumlisha, kumuogesha, kumbadili pampas n.k kitu amacho nadra kufanywa na wabongo.
Sasa hiyo ndoa ya kwetu hapo kwanza bibie kanuna na bwanaharusi anasonya kabisa kama si kung'ong'a yaani hapo kama wamelazimishwa au sijui ndoa ya mkeka hahahahaaaa
ahaaaa huku kwetu ndo zetu hakuna cha kucheka ...ucheke nini honeymoon yenyewe bwana anenda kulala kwa hawara?
 
New York stand up, Bongo stand up, Jam down stand up, Upanga stand up.

May they enjoy a long and blissful matrimony.

Halafu watu watakandya kubeba box.

Ladies ukimshika mbeba box anayepiga "box" metaphorically mpango mzima ndo kama huu na hata zaidi.

Ila mimi hawanipati ng'o.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
miaka 39 anategemea kuja kumuoa nani? tena ashindwe khaa! hata mayai yatakuwa yameisha huko!

hahahaaaa we achaa tuu mie nilibaki nashangaa nikasema huyu umagharibi umeshamuathiri ila nilimuudhi zaidi nilipomwambia au si rizki?(gay) maana nikasema hadi 39 ur single no kid no wed???? mmmhh hata nilishindwa kushangaa kabisa natamani aone hapa watu wabeba boksi wenzake wanavoserebuka heheheheee
Il nimependa macho ya bibi harusi na tabasamu lake (lips), nimemfananisha na......................

Hapa ndipo ninaposema kuwa Watanzania wengi ni wanafiki.

Pamoja na kulazimisha kuoa/olewa mapema inapofika kwenye suala la kuomba kazi Watanzania wengi hasa wanawake, huwa wanaweka marital status kwenye CV zao kuwa wapo single.

Wakati wanalazimisha kuoa/olewa mapema, huwa wanaficha kuwa hawajaoa/olewa kwenye CV zao. Huu ndiyo unafiki at its best.

"Age aren't nothing but a number".
 
Sidhani kama kuna muda ambao lazima mtu awe ameoa.

No one should be forced to marry kwa sababu tuu umri unaenda.

Kuoa ni suala binafsi..

Kwa wabongo wengi wanaoweka marital statuses zao kwenye resume hiyo bado ni foreign concept.

Kwao kuoa/kuolewa ni lazima na usipofanya hivyo una kasoro. Tena unatakiwa uoe/uolewe ndani ya umri fulani.

Kinyume na hivyo utatetwa kila kona na pembe.

Napenda mnavyojibizana kama nawaona mmekaa mezani mnatizamana huku kila mmoja akimjibu mwenzie hehheeeee mmenikumbusha mbali nilishapataga issu kama hiii looh sina hamu
 
Ladies ukimshika mbeba box anayepiga "box" metaphorically mpango mzima ndo kama huu na hata zaidi.

Ila mimi hawanipati ng'o.

Aisome Smile kama bado.
 
Last edited by a moderator:
Napenda mnavyojibizana kama nawaona mmekaa mezani mnatizamana huku kila mmoja akimjibu mwenzie hehheeeee mmenikumbusha mbali nilishapataga issu kama hiii looh sina hamu

Issue ya kulazimishwa kuoa/olewa au kudanganya kuwa ni single kwenye CV yako kumbe sivyo?
 
New York stand up, Bongo stand up, Jam down stand up, Upanga stand up.

May they enjoy a long and blissful matrimony.

Halafu watu watakandya kubeba box.

Ladies ukimshika mbeba box anayepiga "box" metaphorically mpango mzima ndo kama huu na hata zaidi.

Ila mimi hawanipati ng'o.
ndoto zangu ni kuolewa na mbeba box ujue!
pls legeza masharti bwana ...naapa nitakuthamini kiranga ...wallah hapa bongo vumbi tupu ! kila mtu vumbi!
natamani kukanyaga kwa obama au kwa malikia mwenzenu pls Nyani Ngabu do ze needful hapa!
 
Last edited by a moderator:
EMT,

Umeamua uwaletee vijana wa mjini balaa hili, lazima watakulaani sana babake.

Ona sasa wanasumbuliwa na madem zao mara, "oooh tunasubiri nini siku zinaenda mi nishachoka"

Teh teh teh Nobody want to commit these days damn!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Aisome Smile kama bado.
Smile ndo top temptress hapa mjini JF nini? Mbona heshi kutajwa?

Ujue wengine mechi za mchangani huko hatuhudhurii sana pengine tunakosa kuona ma star wa kombe la u Jezebel.
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndipo ninaposema kuwa Watanzania wengi ni wanafiki.

Pamoja na kulazimisha kuoa/olewa mapema inapofika kwenye suala la kuomba kazi Watanzania wengi hasa wanawake, huwa wanaweka marital status kwenye CV zao kuwa wapo single.

Wakati wanalazimisha kuoa/olewa mapema, huwa wanaficha kuwa hawajaoa/olewa kwenye CV zao. Huu ndiyo unafiki at its best.

"Age aren't nothing but a number".

Ukiona hivyo ujue hao wanawake au waschana wanaoficha hizo marital status zao kwentye CV walikuwa wabeba box ndo wakaja home kuolewa na hapo kwenye kazi anataka awe ms hahahahahaaaa majanga tu hayo au kama sio watakuwa washachoshwa na stress za ndoa hivyo kazi kwao ndo inakuwa hobby na ndoa stress re-leaser, age arent a nothing ila msome mbeba boksi mwenzako hapa...............
Kwa wabongo wengi wanaoweka marital statuses zao kwenye resume hiyo bado ni foreign concept.

Kwao kuoa/kuolewa ni lazima na usipofanya hivyo una kasoro. Tena unatakiwa uoe/uolewe ndani ya umri fulani.

Kinyume na hivyo utatetwa kila kona na pembe.
 
Issue ya kulazimishwa kuoa/olewa au kudanganya kuwa ni single kwenye CV yako kumbe sivyo?

sijakuelewa bana sijui wine ishapanda kichwani tayari, umesema sivyo ninavyo danganya kwenye CV yangu? au umesema niko single? kwani mie nimelazimishwa kuolewa? sijaelewa:A S 576:
 
Smile ndo top temptress hapa mjini JF nini? Mbona heshi kutajwa?

Ujue wengine mechi za mchangani huko hatuhudhurii sana pengine tunakosa kuona ma star wa kombe la u Jezebel.
Smile ana mtindo wa ku-rule out her potentials, sasa wewe umeji-rule out automatically, inaweza kuwa pigo kubwa sana kwake kama alikuwa hana mpango wa kuku-rule out.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom