Tanzanian-Jamaican Wedding in New York

Tanzanian-Jamaican Wedding in New York

Umesem kuwa "Napenda mnavyojibizana kama nawaona mmekaa mezani mnatizamana huku kila mmoja akimjibu mwenzie hehheeeee mmenikumbusha mbali nilishapataga issu kama hiii looh sina hamu".

Issue gani ilikupata? Ya kulazimishwa kuoa/olewa, kudanganya kwenye CV kuwa upo singile au mtu kupenda ulivyokuwa unajibizana na mtu mwingine?

Halafu wewe!!!!!!!!

wee banamwenzio wine ilishapanda kichwani hata sjui ilikuwa issue gani nilikuwa nazungumzia hapo, ila sikuwahi kulazimishwa kuolewa wala kudanganya kwenye CV kuwa nipo single wakatiam married, mie nilipenda tuu mnavyojibu yaani wewe ukisema hivi yule anajibu vile mie ilikuwa burdani.
Ila nilishawahi kukaa meza moja na mkaka mmoja hivi anaongea maingish huyo yaani kila nikijitahidi kumaliza maongezi anazidi kuleta jambo ambalo sikubali kushindwa hivyo tuliendelea kuongea kumbe mwenzangu alikuwa anafurahia sauti yangu hahahahaaa sikujua, baada e nikamuaga naenda toilet si unajua wadada mkienda toilet na pochi yako unabeba haaa nilimuachia manyoya aisee, ndo hiyo uliyonikumbusha yaani huyo mkaka alikuwa mbishi na mimi mbishi, alikuwa akija na A mi nakuja na C mwisho nikaamua kukubali kushindwa nikaishia.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
naomba nipite kimya manake huu uzi nina maslah nao binafs
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Umwambie Mhaya au Mchaga eti majani ya migomba yaliyokauka yanaweza kutumika kupambia harusi sidhani kama atakuelewa.

mbona mrisho mpoto aliweza katika harusi yake hapa ni kujipanga tu .... thamini vya kwenu
 
  • Thanks
Reactions: EMT
mbona mrisho mpoto aliweza katika harusi yake hapa ni kujipanga tu .... thamini vya kwenu

Zipi nyingi tuu

m8.jpg

d%2B(6).jpg

d%2B(7).jpg

m7.jpg

d%2B(11).jpg
 
basi hao wengi walikuwa wanapungusa stress za ndoa zao na kazi ni stress re-leaser so kujiweka single full masnigle heheeee simo mie wasijenisikia buree
Bongo sjui kama kuna wabeba box mie najua kuna mapedejee na machalii full kuhudumia baada ya kuvuna mawe migodini kisha kesho wanaamka maskini tena ndo bongo hiyo.

Hebu features za pedeshee. What should I do kama nataka kuwa pedeshee?

And what would I get kama nikiwa pedeshee?
 
wee banamwenzio wine ilishapanda kichwani hata sjui ilikuwa issue gani nilikuwa nazungumzia hapo, ila sikuwahi kulazimishwa kuolewa wala kudanganya kwenye CV kuwa nipo single wakatiam married, mie nilipenda tuu mnavyojibu yaani wewe ukisema hivi yule anajibu vile mie ilikuwa burdani.
Ila nilishawahi kukaa meza moja na mkaka mmoja hivi anaongea maingish huyo yaani kila nikijitahidi kumaliza maongezi anazidi kuleta jambo ambalo sikubali kushindwa hivyo tuliendelea kuongea kumbe mwenzangu alikuwa anafurahia sauti yangu hahahahaaa sikujua, baada e nikamuaga naenda toilet si unajua wadada mkienda toilet na pochi yako unabeba haaa nilimuachia manyoya aisee, ndo hiyo uliyonikumbusha yaani huyo mkaka alikuwa mbishi na mimi mbishi, alikuwa akija na A mi nakuja na C mwisho nikaamua kukubali kushindwa nikaishia.

Tabia yenu hiyo mbaya sana. Eti mdada anaenda toilet halafu akiwa huko anamtumia text rafiki yake kuwa ampigie baada ya dakika tato kuwa mama ameumwa ghafla yuko hoi hospitali awahi haraka huko!

Ndiyo maana zile sheria za wanaume za jinsi ya kumtoa mwanamke kwenye ligi fasta fasta bado ni muhimu sana kuzijua.
 
EMT i adore this wedding the groom seems to be so sweet indeed, aisee mimi huwa sidharau wabeba box nawaheshimu sana kulingana na kabila langu baba na mama principaly kazi yeyote ile hata kama ikoje inakuwezesha kupata fedha zakujikimu na kutanua kabla hujafa na ukaweza weka heshima duniani naiheshimu kazi hiyo.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Zipi nyingi tuu

m8.jpg

d%2B(6).jpg

d%2B(7).jpg

m7.jpg

d%2B(11).jpg

Huyu jamaa kumbeee namfahamu nishenda ofisini kwake sana kushona nguo za harusi, kumbeee daaah yuko so polite na anaongea vizuri hata akianza kukushawishi kama ulienda pale kushona kwa ajili ya kichen party utaghairi na utashona hapo kwake ya send off na harusi. Ni nzuri ila iko expensive, hapo ukumbini nimepapenda, migomba nazi kwa pembeni safi sana.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Tabia yenu hiyo mbaya sana. Eti mdada anaenda toilet halafu akiwa huko anamtumia text rafiki yake kuwa ampigie baada ya dakika tato kuwa mama ameumwa ghafla yuko hoi hospitali awahi haraka huko!

Ndiyo maana zile sheria za wanaume za jinsi ya kumtoa mwanamke kwenye ligi fasta fasta bado ni muhimu sana kuzijua.

Hhaahahaaaaaa pole kumbe huwa mnaudhika eeeh ila huoni kuwa huyo wa kuomba mtu ampigie kuwa mama anaumwa na inabidi aondoke kwenye hiyo conversation ni nzuri na polite kuliko hata mie nilivoaga naenda toilet ndo kimoja?
Hahahahaaa kwa hiyo na nyie mtaendeleza tabia ya kumdochi mwanamke fasta na kutimua kabla hajakutoroka wewe, tatizo hamtakikukubali kukataliwa, mkikubali mbona poa tuu nyie mnataka ndo muwe mnaacha tena kwa kashfa na sio kuachwa looh
Ila nilikuwa bado mschana by that time nafanya hivyo now I dont do those.
By those time kuna kijana mwingine tena tulikuwa tunajibishana kwenye mail kuhusu topic flani hivi waaaooh alikuwa mbishi ila sikukubali hadi yeye akanyoosha mikono nilifurahi, nilikuwa napenda sana ligi, those days utoto raha sana.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hebu features za pedeshee. What should I do kama nataka kuwa pedeshee?

And what would I get kama nikiwa pedeshee?

Pedeshee ni mutu ya pesa mingi yeye iko jua matumizi hapana bania hela, yeye iko mwaga pesa kwa watu wote wanaomsifia na kumpamba. Means zao za kupata hela can be legal and mostly illegal ila wahongaji wazuri sana, pedeshee haoni tabu kukununulia nyumba na gari na asidai chochote kutoka kwako kama malipo.
Ili uwe pedeshee shurti uwe na pesa mingi na si ya mawazo kuwa gari ikikwanguliwa au ikipata ajali unasubiri bima ikulipe noop unatengeneza mwenyewe au kununua ingine kabisa. Yaani wewe uwe mtafutaji na unapata nyingi sio kidogo na ukipata unakula na wenzako bila uchoyo hasa wa jinsia tofauti na yako.
Wewe ukiwa pedeshee unapata sifa tuu na kujulikana kuwa unapesa mingi na unakula na watoto wazuri wa mjini in return huhitaji pesa wala mapenz wewe unakuwa na muke yako ila unatumia pesa na watu wengi............
That what I know sijui wengine wanatafsirije ila asili yake imetokea Congo ndomaana umeona lafudhi ya kikongo hapo juu.
Sasa unataka kuwa pedeshee nikuletee fomu?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Just FYI Nate ni raia wa Tanzania na hilo jambo halina mgogorokabisa na pia Nate anajivunia sana kuwana damu ya kimalawi na Utaifa wa Tanzania.Loyalty yake siku zote ni kwa Taifa lake....so acheni kujadili uraia wake kwanza mkishajua utawasaidia nini?....

Duh! Haya dada, umesomeka.

Lakini kama tukijua itatusaidia nini, kwa nini sasa umenijulisha kuwa yeye ni raia wa Tanzania?
 
Hhaahahaaaaaa pole kumbe huwa mnaudhika eeeh ila huoni kuwa huyo wa kuomba mtu ampigie kuwa mama anaumwa na inabidi aondoke kwenye hiyo conversation ni nzuri na polite kuliko hata mie nilivoaga naenda toilet ndo kimoja?

Nzuri na polite wapi wakati ukimpigia simu baadae kujua hali ya mama yake, humpati tena?

Hapo mzee mzima anabakiwa na mapresha labda kakuta mama yake ameshaaga dunia ay yeye mwenyewe kaaga dunia baada ya kukuta mama yake keshaaga dunia.

Nifikiri ni bora kuwa direct, badala ya kuzuga. Tena ukiniambia direct na kwa heshima nitakuheshimu ile mbaya. Otherwise, nitaishia kukupakazia kwa wanaume wengine kuwa yule demu nuksi! Hafai. lol

Hahahahaaa kwa hiyo na nyie mtaendeleza tabia ya kumdochi mwanamke fasta na kutimua kabla hajakutoroka wewe, tatizo hamtakikukubali kukataliwa, mkikubali mbona poa tuu nyie mnataka ndo muwe mnaacha tena kwa kashfa na sio kuachwa looh

Chezea siasa za mapenzi za jino kwa jino wewe?

Ila nilikuwa bado mschana by that time nafanya hivyo now I dont do those. By those time kuna kijana mwingine tena tulikuwa tunajibishana kwenye mail kuhusu topic flani hivi waaaooh alikuwa mbishi ila sikukubali hadi yeye akanyoosha mikono nilifurahi, nilikuwa napenda sana ligi, those days utoto raha sana.

Labda usichana ulikuwa unakusumbua baada ya kukua ukaacha.
 
Pedeshee ni mutu ya pesa mingi yeye iko jua matumizi hapana bania hela, yeye iko mwaga pesa kwa watu wote wanaomsifia na kumpamba. Means zao za kupata hela can be legal and mostly illegal ila wahongaji wazuri sana, pedeshee haoni tabu kukununulia nyumba na gari na asidai chochote kutoka kwako kama malipo.
Ili uwe pedeshee shurti uwe na pesa mingi na si ya mawazo kuwa gari ikikwanguliwa au ikipata ajali unasubiri bima ikulipe noop unatengeneza mwenyewe au kununua ingine kabisa. Yaani wewe uwe mtafutaji na unapata nyingi sio kidogo na ukipata unakula na wenzako bila uchoyo hasa wa jinsia tofauti na yako.
Wewe ukiwa pedeshee unapata sifa tuu na kujulikana kuwa unapesa mingi na unakula na watoto wazuri wa mjini in return huhitaji pesa wala mapenz wewe unakuwa na muke yako ila unatumia pesa na watu wengi............
That what I know sijui wengine wanatafsirije ila asili yake imetokea Congo ndomaana umeona lafudhi ya kikongo hapo juu.

Hahahaaaa!!! Pedeshee anajifanya kuongea na akina P Dididy, Beckham nk. kwenye simu though sisikiii wakisema kuwa waliokuwa wanaongea pia na Shakira, Rhanna, nk.

[video=youtube_share;ac0dgNyvNLw]http://youtu.be/ac0dgNyvNLw[/video]

Sasa unataka kuwa pedeshee nikuletee fomu?

Nataka fomu ya kufunika mapedeshee wote hapa mujini.
 
Maslahi binafsi yanakuweka pabaya hata kama ni kusifia picha moja tuu?

kiukweli nimeipenda sana hii harusi kwangu mimi nimefarijika sana sana lkn nahofia sana nisije sema sana watu wakaunga dotss manake Usisya mmh!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
kiukweli nimeipenda sana hii harusi kwangu mimi nimefarijika sana sana lkn nahofia sana nisije sema sana watu wakaunga dotss manake Usisya mmh!!

Aaaaaa bana!! Unaweza kuninong'onezea mie binafsi bila mtu yoyote kusikia.

Hakyanani tena nakuhakikisha nitaitunza siri hiyo pamoja na kuwa hakuna siri ya watu wawili.
 
Duh! Haya dada, umesomeka.

Lakini kama tukijua itatusaidia nini, kwa nini sasa umenijulisha kuwa yeye ni raia wa Tanzania?

Bullshit Nyani ngabu Seriously?....yoo Wewe Hapo Nyani Ngabu ndiyo umeuliza swali kuhusu URAIA WAKE na ndiyo maana nimekujibu....lile swali lako lilikuwa kama linaonyesha kuwa unataka tuu kumchafulia au unataka watu walete debate and discuss about Nathan na siyo kuhus Mada ya hii topic...I am saying this because he is my friend and i have known him for many many many years, mama yake ni Mtanzania na yeye amezaliwa na kukulia Tanzania, na sheria inasema ikiwa mzazi mmoja ni Mtanzania na umezaliwa hapo then mtoto anakuwa mtanzania....Mfano Kama wewe na mkeo mmezaa mtoto hapa marekani automatically yule mtoto ni Mmarekani na siyo Mtanzania...then why questioning his nationality? just because baba yake alikuwa Mmalawi? that is ridiculous!....period/point blank!!
 
Inanity on a princely scale!

But no need to foam at the mouth, though.
 
Back
Top Bottom