Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,992
- 146,310
ndoto zangu ni kuolewa na mbeba box ujue!
pls legeza masharti bwana ...naapa nitakuthamini kiranga ...wallah hapa bongo vumbi tupu ! kila mtu vumbi!
natamani kukanyaga kwa obama au kwa malikia mwenzenu pls Nyani Ngabu do ze needful hapa!
Tena kama wewe ukimkuta mbongo mbeba box kashachukua mbawa za buluu zake unawiki zako tatu tu.
Makaratasi yote unaenda kuchukulia Drive-In pale, ukishuka JFK Rihanna kasingiziwa.
Ila mie jazz band langu nikiangalia ndoa in this context naona utumwa tu.