Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,809
- 110,054
Wakati wewe unaona picha zenye nakshi nzuri na mapambo ya kila aina...sisi wengine tunaangalia details nyingine mkuu...
Why avoiding the main topic,and discussing citizenship instead....wakati watu
wenyewe wako kwa obama....watz kama tumerogwa vile
cc Nyani Ngabu
Last edited by a moderator: