Tanzanian-Jamaican Wedding in New York

Tanzanian-Jamaican Wedding in New York

EMT,

Bank officer nae ni mbeba box?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa. Nilijua tuu issue ya "wahamiaji haramu" itaingia.
Usiseme ulijua issue ya wahamiaji haramu itaingia wakati wewe ndio ulishaiingiza toka mwanzo na ndio dhumuni la mada hii!

Hapo wale wanaojifanya ni "wazalendo" na "wataifa" watasema baba yake ni "mhamiaji haramu" kutoka Malawi.

New_York_Tanzanian_Caribbean_wedding_Petronella_Photography_37.jpg
Sasa kama mwenyewe alikupa ruhusa kumbandika mitandaoni humu na kupamba harusi yake I hope pia alikuruhusu uje ujadili uraia wake na kumlipua kinyume nyume kuhusu uraia.

Anyhow, ni vigumu kujua uraia wa mtu manake alipofika miaka 18 hujui kama aliomba uraia ama vipi, na kama aliomba alikubaliwa kuandikishwa ama vipi, na kama alikubaliwa bado hujui kama alipofika huko New York aliomba kuandikishwa uraia wa huko na hivyo kujivua uraia wa Tanzania ama Malawi. Manake sisi haturuhusu uraia wa nchi nyingi nyingi.
 
Wanyasa wote ni Watanzania? Kama ni ndiyo, basi Wajaluo na Wamasai wote pia ni Watanzania.

Kwa uchambuzi huu wa kabila NN, hii haisemi chochote kuhusu utaifa wake nionavyo. Inapanua wigo wa majibu mengine bila kukanusha lililopo. Labda km mtu anaweza kisema si Mnyasa wa Tz
 
I didn't know Poughkeepsie was this nice, must be the Vassar side effect.
 
I didn't know Poughkeepsie was this nice, must be the Vassar side effect.

You didn't get the invite?

Btw, those two Gotham reprobates got resoundingly rejected:biggrin1:. What happened to your boy client 9?
 
You didn't get the invite?

Btw, those two Gotham reprobates got resoundingly rejected:biggrin1:. What happened to your boy client 9?

I was retreating at my summer home away from the Gothamite sirens. Nikaenda kwa mama Mt. Vernon kufuatilia business zangu mara moja ananiambia jana tulikuwa kwenye harusi, so niliwakilishwa. Watu wametoka mpaka ma Munich huko.

I was expecting Carlos Danger to flunk, and a redemption story from Client 9. I think Gothamites were ready to forgive Client 9, but the Carlos danger effect rubbed on him.

It's a pity kwa sababu jamaa alikuwa anaweza kuwatia jambajamba kama si kuwanyoosha wacheza kamali wa Wall St.
 
Sidhani kama kuna muda ambao lazima mtu awe ameoa.

No one should be forced to marry kwa sababu tuu umri unaenda.

Kuoa ni suala binafsi.

There isn't really an actual age that's best to get married at.

marriage is a Life Commitment you should enter when you your Ready.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Big up Kijana wetu....harusi ni ya ukweli na huyu bibi harusi ni supaaa ile mbaya...may it last forever & ever....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mie hata sielewi NN, naona wakiupatia upenyo hupendelea kuwepo kote kote.
 
Najua wapo. Lakini huyu dogo mdingi wake si ni Mnyasa wa Malawi. Au siyo? Au Wanyasa wa Malawi [/unquote]

Just FYI Nate ni raia wa Tanzania na hilo jambo halina mgogorokabisa na pia Nate anajivunia sana kuwana damu ya kimalawi na Utaifa wa Tanzania.Loyalty yake siku zote ni kwa Taifa lake....so acheni kujadili uraia wake kwanza mkishajua utawasaidia nini?....
 
"Some of you will know because Kanyama Chiume wrote an article when Mwalimu died saying that at the height of the treason trial which involved Kambona, Kamaliza, Titi and others, some officials from the CID went to his house and told him that his life was on danger, because Nyerere is very angry with all the Wanyasas, and he has signed an order for their arrest and imprisonment. So you better run away while you and your other colleagues have the time. Instead of running away, he decided to call Mwalimu and make an appointment – which he got. He told Mwalimu point blank that you don't have to send people to arrest me, here I am – you can kill me if you want! Mwalimu was shocked and called those from the CID, wanting to know who did that. But the most interesting part was when Mwalimu said ‘Am tired of this, every good hardworking person is against me and is for Kambona. Who is for Nyerere?' Chiume concluded that he was lucky he decided to challenge Mwalimu and had a chance to see him; but how many fell victims to the malicious crew which was all out to destroy other people's lives in the name of Mwalimu? My assumption is may be even this treason case was just a hoax to separate Mwalimu from his friends – the double dealers will tell both friends that the other is planning to kill you, and will make sure you never meet eye to eye like in a soap opera!Bibi Titi also told me the same story that some people arranged for her transport to go into hiding, because Mwalimu was jealous and purging all those who struggled with him for independence. So she pressured to leave immediately. Her humble conclusion later on was that Mwalimu was misled! My own father Austin Shaba, then a cabinet Minister, was also approached by an agent who told him that Mwalimu had declared war on all the Wanyasas and that he as Minister for Housing and Local government had taken bribes from the Germans during the housing operation in Mwananyamala, Magomeni, Kinondoni and elsewhere. So better run away before the law catches up with him. They told him Kambona and others are now safe outside the country. Later on he told me he did not see any reason why he should run away, because he was not guilty. Besides he had a big family – two wives and many children and dependants – how could he abandon them? So he decided to remain in the country and wait for any consequence. The most he had to do was to step down as a minister because he was not a citizen! And he mused, if he had run away, then the invisible enemies would have told Mwalimu, ‘You see, Shaba is a traitor like the others. If he was not guilty why did he run away?'" - Marie Binti Shaba http://pambazuka.org/en/category/comment/60529
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Wengi wao wala hawakuwa wabeba box. Wamezaliwa na kusoma hapa hapa Bongo.

Hivi mtu akiwa Bongo anaweza kubeba box?

basi hao wengi walikuwa wanapungusa stress za ndoa zao na kazi ni stress re-leaser so kujiweka single full masnigle heheeee simo mie wasijenisikia buree
Bongo sjui kama kuna wabeba box mie najua kuna mapedejee na machalii full kuhudumia baada ya kuvuna mawe migodini kisha kesho wanaamka maskini tena ndo bongo hiyo.
 
Back
Top Bottom