Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 945
Jamani, mbona hiyo shortlist siioni? Si tumeambiwa tuchague tunayemtaka na kusema kwa nini? Sasa naomba niulize Person of the Year in politics au tunaweza kwenda nje ya siasa? Maana naweza nikatoa choice tofautitofauti!
Mie na nominate Kadampinzani, kwasababu zilizowazi na kila mtu anazijua. Napinga na Nyani Ngabu kwa ku-nominate MKJJ, kwasababu ya shutuma za Dr.WHO ambazo MKJJ mpaka sasa kaziwekea ukiziwi wa makusudi. LOL......happy eid!!!!!!.
Kada mpinzania the quiter mswahili ndiye awe number one? Yeye kama kambona na mchambuzi wanakimbia fights wanazoanzisha wao wenyewe! Kadampinzani alipiga makelele na kulialia hapa huku akitishia kuwa atabanana na watu hadi mwisho lakini mambo yalivyokuwa hot mzee kaingia mtini kama kambona. Kada so far ni the worst person akimfuatia Kambona na Mchambuzi kwa karibu!