Tanzanian 2007 Person of the Year

Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
944
Who you think diservs to be Tanzania 2007 person of the year
You name any one, and explain why you think he/she diserv to be 2007 person of the year?
 
Dr Slaa

from my perspective, i think he is a very courageous politician, he does not fear to be prosecuted when he believes he is in the right track, for sure Tanzanians need a politician like him. his acts are daring.
 
I think Zitto Kabwe.
He is a humble and intelligent young man. He challenged executive power, something that Tanzania missed for years. With in short period of time he shows maturity on politics.
 
hiyo shortlisted kwanza imepatikana kwa vigezo gani? We ungeacha uwanja wazi tukachagua wenyewe. Unatuwekea multiple choise kwani sisi mazuzu? Sasa kujibu swali lako, the Person of the Year award is shared by God and Satan. They had a great duel this year with many of God's followers trying out Satanic stuff (kusema uongo, kuiba, kutia/kutiwa nje ya ndoa, na kuweka vinyongo na visasi). Hata hao hapo kwenye oroza yake wamerubuniwa na Shetani mwaka huu in one way or another.
 
..oooh mada ishachafuliwa hapo naona,ngoja na mimi niichafue zaidi maana sipendi wanasiasa ambao ndio uliotuchagulia hapo tuwape hii zawadi,mimi nawapatia walalahoi wote wa bongo kwa uvumilivu wao ingawaje maisha ni magumu sana
 
ZITTO,

Huyu kijana amewafanya watz kuamka na kupanua upeo wa uelewa kwamfano jinsi nchi inavyoliwa na mafisadi. Amewafikia wengi kwa kipindi kifupi sana
 
Beware JF members, it seems like we have a real satan in this forum iam scared.
 
Mwanakijiji
Kwa sababu huyu bwana ni mkakamavu, mwenye akili nyingi sana, na ni mtu asiye na woga.
 
I just edited, and feel free to nominate anybody as your 2007 person of the year. I believe if the forum will stay longer enough then on DEC 31 we will be able to name JF 2007 Tanzania person on the year.
 
Jamani, mbona hiyo shortlist siioni? Si tumeambiwa tuchague tunayemtaka na kusema kwa nini? Sasa naomba niulize Person of the Year in politics au tunaweza kwenda nje ya siasa? Maana naweza nikatoa choice tofautitofauti!
 
any body, ndio maana nimesema 2007 person of the year. Goodluck Susuviri
 
Daudi Balali akiwa Gavana wa Benki uchumi uliimarika na inflation ikashuka from 20+ to single digit 4-6....

Need I say more?
 
Time magazine leo wametaja Viladmir Putin person of 2007, kazi iko hapa jf kuwapiku Times. Mpeni tuzo Shetani mtakuwa mmewapiku.
 
Mie na nominate Kadampinzani, kwasababu zilizowazi na kila mtu anazijua. Napinga na Nyani Ngabu kwa ku-nominate MKJJ, kwasababu ya shutuma za Dr.WHO ambazo MKJJ mpaka sasa kaziwekea ukiziwi wa makusudi. LOL......happy eid!!!!!!.
 
Kada mpinzania the quiter mswahili ndiye awe number one? Yeye kama kambona na mchambuzi wanakimbia fights wanazoanzisha wao wenyewe! Kadampinzani alipiga makelele na kulialia hapa huku akitishia kuwa atabanana na watu hadi mwisho lakini mambo yalivyokuwa hot mzee kaingia mtini kama kambona. Kada so far ni the worst person akimfuatia Kambona na Mchambuzi kwa karibu!
 
Totally fair, imesound kama worse, worser and worst ya Keith Obermans' COUNTDOWN!................kumbe hili ndio jina lako lingine eeenh!!!?
 
I thought I had no interest in this, but hey, it is a free world.
I nominate yule kijana aliyemuuliza Lowasa swali gumu. That needed courage. My second choice obviously ni Kabwe Zitto. We need more of those in parliament.
 
In avoiding the almost isulting option of "no Tanzanian rose to the occassion" in a substantial way...

Zitto Kabwe, agains formidable odds managed to stimulate a meaningful debate on the plight of Tanzania's benefit from the mining sector. It remains to be seen if he is only the "flavor of the year" or an emerging force. I would nominate him.

That kid from Ukerewe exposed the blatant disregard and lack of commitment on the part of our leaders not only by the question, but also by the nonchalant nature the PM ignored the question.The original article exposed another classical "conflict of interest" issue. I understand ministers have to be selected from MPs, but why exposing an MP to an executive office? There was a time when Judge Mwesiumo was a judge (judiciary) a deputy minister (executive) and an MP (legislature).How is one to resolve conflict of interest issues?

Dr. Asha-Rose Migiro managed to put our country on the diplomatic forefront by being made UN Deputy Secretary General, a notable distiction for a Tanzanian.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom