Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,902
- 14,378
Mobeto balozi wa Kodi.... ha ha ha! Diamond kuongoza mashambulizi ya kampeni za chama! Tunapenda kweli kuvuna bila kupanda; yale yale ya tozo.

Tunahitaji kukuza namba ya watalii nchini lakini tunashindwa kutumia fursa hizi (michezo ya olympic) kujitangaza kama taifa.Picha hizi mbili zimepigwa jana tarehe 23 Julai 2021 wakati wa tukio la ufunguzi wa michezo ya Olimpiki jijini Tokyo, Japan.
Ki-utaratibu, kila nchi iliyopeleka wawakilishi inatajwa halafu wawakilishi wanapita mbele ya umati wakiwa na bendera ya taifa lao. Kutakuwa na jumla ya matukio 339, kwa aina za michezo 33, kwa namna 46
Picha ya juu ni tukio baada ya Tanzania kutajwa. Wawakilishi wa Tanzania ni watatu tu, lakini hawakuwepo. Hapa alionekana mtu mmoja mwenye asili ya Asia akipeperusha bendera ya Tanzania kama mwakilishi wa nchi yetu.
Picha ya chini ni tukio baada ya Kenya kutajwa.
Jumla ya wanamichezo 11,091 kutoka nchi 206 duniani watashindana kupata medali za dhahabu, fedha au shaba. Zipo nchi zimepeleka wanamichezo 100+, 200+, 400+ hadi 600+
Tanzania, nchi yenye watu takribani milioni 60, na asilimia zaidi ya 90 wapo chini ya miaka 35, umri wa michezo, imepeleka wawakilishi watatiu, ambao hawajaonekana wakati nchi yao ikitajwa.
Vijana wamebaki ndani ya nchi yao wanacheza ndondo, kubeti, singeri na kuuza karanga. Viongozi wao hawajali! Maneno mengi ya kutia matumaini yanasemwa majukwaani, vijana wanakubali bila kufikiri, na akili ya kudai hawana. Wamefungwa akili, wanaamini Mungu ndiye aliyewapangia kuwa kama walivyo, siku yao itakuja... miaka mia ijayo.
Ni nani mwenye akili ya kupunguza tatizo la ajira kwa vijana kwa kuboresha sekta ya michezo na kuiunganisha nchi na jumuia za michezo za kimataifa? Hakuna. Kuna wizara ya michezo? Ipoipo tu.
Tuendelee na masiasa yetu ya kuumizana, ndicho tunachoweza.View attachment 1866543View attachment 1866544
Aibu. Na bado tunasema tunayo wizara ya michezo na utamaduni. Kazi yao imebaki kuwafungia wasanii tu basi.Picha hizi mbili zimepigwa jana tarehe 23 Julai 2021 wakati wa tukio la ufunguzi wa michezo ya Olimpiki jijini Tokyo, Japan.
Ki-utaratibu, kila nchi iliyopeleka wawakilishi inatajwa halafu wawakilishi wanapita mbele ya umati wakiwa na bendera ya taifa lao. Kutakuwa na jumla ya matukio 339, kwa aina za michezo 33, kwa namna 46
Picha ya juu ni tukio baada ya Tanzania kutajwa. Wawakilishi wa Tanzania ni watatu tu, lakini hawakuwepo. Hapa alionekana mtu mmoja mwenye asili ya Asia akipeperusha bendera ya Tanzania kama mwakilishi wa nchi yetu.
Picha ya chini ni tukio baada ya Kenya kutajwa.
Jumla ya wanamichezo 11,091 kutoka nchi 206 duniani watashindana kupata medali za dhahabu, fedha au shaba. Zipo nchi zimepeleka wanamichezo 100+, 200+, 400+ hadi 600+
Tanzania, nchi yenye watu takribani milioni 60, na asilimia zaidi ya 90 wapo chini ya miaka 35, umri wa michezo, imepeleka wawakilishi watatiu, ambao hawajaonekana wakati nchi yao ikitajwa.
Vijana wamebaki ndani ya nchi yao wanacheza ndondo, kubeti, singeri na kuuza karanga. Viongozi wao hawajali! Maneno mengi ya kutia matumaini yanasemwa majukwaani, vijana wanakubali bila kufikiri, na akili ya kudai hawana. Wamefungwa akili, wanaamini Mungu ndiye aliyewapangia kuwa kama walivyo, siku yao itakuja... miaka mia ijayo.
Ni nani mwenye akili ya kupunguza tatizo la ajira kwa vijana kwa kuboresha sekta ya michezo na kuiunganisha nchi na jumuia za michezo za kimataifa? Hakuna. Kuna wizara ya michezo? Ipoipo tu.
Tuendelee na masiasa yetu ya kuumizana, ndicho tunachoweza.View attachment 1866543View attachment 1866544
😀😀😀Huyo si mchina,ni mtanzania kwenye asili ya Asia,amekuwa Tanzania kwa muda sasa na kuchukua uraia,pia nazani unaona kavaa nguo ya blue inayowakilisha bahari na maziwa yetu.
Kuhusu idadi ya washiriki msiwe na shaka,tulicho angalia kama nchi ni quality ya washiri tuliyowapeleka nchi inaweza kupeleka washiriki 100 ikarudi bila medani.Sisi tumewapeleka washiriki bora wanne tuna uhakika wa kurudi na medani za kutosha.
hahahahahahaitagawa magozi kila timu ya kata
Kupambana na chadema... Ilani ya CCM inasemaje kuhusu michezo?
Tanzania imewekeza sana kwenye SIASA, kuliko kitu kingine chochote kile! Na hili ndilo tatizo kubwa.Picha hizi mbili zimepigwa jana tarehe 23 Julai 2021 wakati wa tukio la ufunguzi wa michezo ya Olimpiki jijini Tokyo, Japan.
Ki-utaratibu, kila nchi iliyopeleka wawakilishi inatajwa halafu wawakilishi wanapita mbele ya umati wakiwa na bendera ya taifa lao. Kutakuwa na jumla ya matukio 339, kwa aina za michezo 33, kwa namna 46
Picha ya juu ni tukio baada ya Tanzania kutajwa. Wawakilishi wa Tanzania ni watatu tu, lakini hawakuwepo. Hapa alionekana mtu mmoja mwenye asili ya Asia akipeperusha bendera ya Tanzania kama mwakilishi wa nchi yetu.
Picha ya chini ni tukio baada ya Kenya kutajwa.
Jumla ya wanamichezo 11,091 kutoka nchi 206 duniani watashindana kupata medali za dhahabu, fedha au shaba. Zipo nchi zimepeleka wanamichezo 100+, 200+, 400+ hadi 600+
Tanzania, nchi yenye watu takribani milioni 60, na asilimia zaidi ya 90 wapo chini ya miaka 35, umri wa michezo, imepeleka wawakilishi watatiu, ambao hawajaonekana wakati nchi yao ikitajwa.
Vijana wamebaki ndani ya nchi yao wanacheza ndondo, kubeti, singeri na kuuza karanga. Viongozi wao hawajali! Maneno mengi ya kutia matumaini yanasemwa majukwaani, vijana wanakubali bila kufikiri, na akili ya kudai hawana. Wamefungwa akili, wanaamini Mungu ndiye aliyewapangia kuwa kama walivyo, siku yao itakuja... miaka mia ijayo.
Ni nani mwenye akili ya kupunguza tatizo la ajira kwa vijana kwa kuboresha sekta ya michezo na kuiunganisha nchi na jumuia za michezo za kimataifa? Hakuna. Kuna wizara ya michezo? Ipoipo tu.
Tuendelee na masiasa yetu ya kuumizana, ndicho tunachoweza.View attachment 1866543View attachment 1866544
NO RESEARCH, NO RIGHT TO SPEAK!Picha hizi mbili zimepigwa jana tarehe 23 Julai 2021 wakati wa tukio la ufunguzi wa michezo ya Olimpiki jijini Tokyo, Japan.
Ki-utaratibu, kila nchi iliyopeleka wawakilishi inatajwa halafu wawakilishi wanapita mbele ya umati wakiwa na bendera ya taifa lao. Kutakuwa na jumla ya matukio 339, kwa aina za michezo 33, kwa namna 46
Picha ya juu ni tukio baada ya Tanzania kutajwa. Wawakilishi wa Tanzania ni watatu tu, lakini hawakuwepo. Hapa alionekana mtu mmoja mwenye asili ya Asia akipeperusha bendera ya Tanzania kama mwakilishi wa nchi yetu.
Picha ya chini ni tukio baada ya Kenya kutajwa.
Jumla ya wanamichezo 11,091 kutoka nchi 206 duniani watashindana kupata medali za dhahabu, fedha au shaba. Zipo nchi zimepeleka wanamichezo 100+, 200+, 400+ hadi 600+
Tanzania, nchi yenye watu takribani milioni 60, na asilimia zaidi ya 90 wapo chini ya miaka 35, umri wa michezo, imepeleka wawakilishi watatiu, ambao hawajaonekana wakati nchi yao ikitajwa.
Vijana wamebaki ndani ya nchi yao wanacheza ndondo, kubeti, singeri na kuuza karanga. Viongozi wao hawajali! Maneno mengi ya kutia matumaini yanasemwa majukwaani, vijana wanakubali bila kufikiri, na akili ya kudai hawana. Wamefungwa akili, wanaamini Mungu ndiye aliyewapangia kuwa kama walivyo, siku yao itakuja... miaka mia ijayo.
Ni nani mwenye akili ya kupunguza tatizo la ajira kwa vijana kwa kuboresha sekta ya michezo na kuiunganisha nchi na jumuia za michezo za kimataifa? Hakuna. Kuna wizara ya michezo? Ipoipo tu.
Tuendelee na masiasa yetu ya kuumizana, ndicho tunachoweza.View attachment 1866543View attachment 1866544
Mkuu sidhani kama huyo ni mtanzania.inasikitisha lakini ndivyo ilivyo, watanzania wenye asili ya ki Asia ndio WAZALENDO kuliko sisi asilia.
Mfano kodi hii ya miamala ya simu A.K.A "YAKIZALENDO" inayotukosesha raha, mgunduzi wake ni mbunge mtanzania mwenye asili ya kiasia Zungu.
SureWange wapeleka wasani bongo fleva
Si ndiyo wanawapa kipaumbele
Ova