Tanzania yateng’eneza meli

Tanzania yateng’eneza meli

Assembe ni kutengeneza?
What about manufacturing?
Kuna assembled by na Manufactured by.
 
Meli,magari ,pikikii vyote huwa vinakuwa assembled kiswahili inaitwa kutengeneza.Hata mjapani magari yote anachofanya Ni KU assemble kiswahili tunaita kutengeneza but kiingereza Ni ku assemble
Acha kudanganya ku assemble kwa kiswahili ni kuunganisha kifaa ambacho kishatengenezwa .. hivyo wao wanachukua vifaa ambavyo vishachakatwa au kutengenezwa na kuja kuviassemble au kuviunganisha mfano baiskel za Avon au Phonex vifaa vinakuja Tanzania kwenye mabox hapa Tanzania tunafanya assembling
 
We
Wewe ni katika wajinga Fulani watu wameshajitengenezea pikipiki na magari yao binafsi majumbani na Hadi plate number wanazo yako barabarani wewe sijui uko dunia gani
Wewe ndo mjinga ,.tutajie viwanda hapa Tanzania ambavyo vinafanya manufucturaling na sio Kama wana assemble
Tofautisha kati ya manufucture na assemble
 
Kwa hiyo mkuu mpaka injini nayo inasukwa hapo hapo au inaagizwa na kupachikwa kabla sijakuja kwenye swali la msingi
No. Engine huwa zinaagizwa mkuu. Zinakuja engine peke yake. Hapo wanaanzia wanasukia system ya exsozit,system ya cooling. MUHIMU u
Kujua engine ya meli haiko sawa na ya gari...! Mfumo wa engine ya meli,system za warering lazima iendane na wirering nyingi kutoka pande zote,mpaka nyuma
 
Tanzania tunauwezo wa kutengeneza Meli kebu au Ngalawa na mitumbwi mbali mbali kutokana na mali ghafi tulizonazo , ila kwa meli tuna assemble kwa ukosefu wa vipuli na mali ghafi tulizonazo, ila kwa maintenance tunao baadhi ..
 
Mmh huyo jamaa mbona anatengeneza Meli kitambo tokea wakati wa kikwete alishapewa tenda akaunda kwenye lakes zetu... Acha kutoa sifa ovyo ovyo mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni.. mabati yanaungwa kufuata michoro na vifaa vya kuendeshea na kuongoza vinaagizwa nje
Kwa hiyo wanatengeneza bod ??!!
 
Usimpe sifa bure hawa wameanz tengeneza meli kitambo refer kesi ya shigongo kuwasjitaki songoro baada ya kuwalipa ela wamjengee boat sijui ya kwenda ukelewe wakamzungusha boat wakajenga lakini hawakumpa
Nafikiri kuna mahala walikwamishana tu na huyo uliemtaja. Nimefanya nao kazi hawa jamaa,ni watu makini sana. Nime-Spray baadhi ya vifaa hapo kwenye ujenzi wa hizo meli. Kuna jamaa yangu nilimuunganisha nao,wamemtengenezea FAIBA ya watu wa5 bila shida na kwa gharama nafuu. Huyo uliyemtaja ni wanajiita wajasiriamali. Lakini anatafuta sana mianya ya pungufu. Kwa vyovyote alitaka kuwapiga mahala,akawazingua,nao wakamzingua vile vile. Lakini kwa ujumla nawapa heko sana hii kampuni,ni makini. Sifa nyingine wakifika mahala huwa wanashirikiana kwa karibu na wananchi wa mahala mradi ulipo,kuanzia kuwaajiri mafundi,kama hawana ujuzi wanawafundisha na kuwaajiri,madereva n.k
 
Vitu viwili vinafanyika
1)kuna baadhi ya vifaa ambavyo ni direct imported huwa wanaassemble kama vile engines n.k
2)kuna vitu ambavyo huwa vinaundwa au kutengenezwa hapa hapa bongo ambavyo huwa vinahusisha welding activities

Kwa hiyo tukisema meli inatengenezwa hapa bongo sawa au tunafanya assembly sawa
 
Wanaagiza kumbuka hata boeing engine za ndege anazitengeneza rolls royce mwingereza huyo na nyingnr anazitengeneza anatengeneza general electric wakati wao kama boeing wanahusika kutengeneza fuselage na kufunga mifumo mingne
Injini wanasuka wenyewe au wanaagiza ujajibu swali
 
Mbona boeing wanahusika na kudesign na kutengeneza fuselage engine anazitengeneza rolls royce na general electric na bado husemi boeing ana assemble ndege? Bali tunasema anatengeneza ndege
Vitu viwili vinafanyika
1)kuna baadhi ya vifaa ambavyo ni direct imported huwa wanaassemble kama vile engines n.k
2)kuna vitu ambavyo huwa vinaundwa au kutengenezwa hapa hapa bongo ambavyo huwa vinahusisha welding activities

Kwa hiyo tukisema meli inatengenezwa hapa bongo sawa au tunafanya assembly sawa
 
Meli,magari ,pikikii vyote huwa vinakuwa assembled kiswahili inaitwa kutengeneza.Hata mjapani magari yote anachofanya Ni KU assemble kiswahili tunaita kutengeneza but kiingereza Ni ku assemble
Mmmh mkuu hapa umetereza.
Kuna manufacturing industry na assembling industry.
Manufacturing inahusiana na utengenezaji wa kitu kutoka ktk mali ghafi mpk kuwa mali ya kuweza kutumika mathalan gari inaundwa kwanzia engine yake mpk inakamilika.
Assembly industry inahusiana na utengenezaji wa kitu kwa kuunganisha vifaa mathalan umenunua spare za gari ukawa unaziunganisha kwa kutumia model yako ulioi design mwenyewe ya gari lakn spare hujaunda ww.
Japan ana manufacture mama hafanyi assembly usimuaibishe.
China ndio anafanya assembly.
 
Boeing hatengenezi engine za ndege zake bali anatengeneza fuselage a.k.a body la ndege. Engine anatengeneza rolls royce na general electric. Kwahiyo tuseme boeing hatengenezi ndege bali ana assemble?
Katika kuunda vitu kama meli na ndege mtengenezaji na kitu cha muhimu ni body hakuna mtengenezaji anaye tengeneza kila kitu duniani hata simu ya iphone utakuta display kaitengeneza samsung, storage samsung, process arm, hata magari utakuta taa katengeneza kapubu nyingine, radio mtu mwingine, lakini mtengenezaji katengeneza body
Kwa hiyo wanatengeneza bod ??!!
 
Sio kuponda .. hivi unajua maana ya Manufactured by.. na assembled by??
You have to think twice..
'You have to think twice' do you even know the context of this phase ? Andika kiswahili tu yatosha.
 
Back
Top Bottom