Tanzania yateng’eneza meli

Tanzania yateng’eneza meli

Engine wananunua,tairi wananunua,gia box wananunua,nyaya za umeme za gari wananunua,taa za gari wananunua ,chuma wananunua,seat wananunua wanachofanya kazi kubwa Ni kazi ya welding ya kutengeneza bodi na kupachika hivyo walivyonunua yaani KU assemble .Viwandani vyao vina mitambo mikubwa automatic ya kuassemble.Japan Wana desingners wazuri wa kuchora bodi za magari na welders wazuri.Otherwise kinachofanyika ni.ku assemble tu

Hujui kitu wewe makampuni yamagari yanateng’eneza engine zenyewe

Eti tiyota wanaenda kununua engine! pathenic
 
Attachments

  • Screen Shot 2019-09-14 at 21.28.03.png
    Screen Shot 2019-09-14 at 21.28.03.png
    44.9 KB · Views: 13
  • Screen Shot 2019-09-14 at 21.27.41.png
    Screen Shot 2019-09-14 at 21.27.41.png
    10.8 KB · Views: 14
Hujui kitu wewe makampuni yamagari yanateng’eneza engine zenyewe

Eti tiyota wanaenda kununua engine! pathenic
Unaota makampuni ya magari Ni Tofauti na ya kutengeneza injini.Japan ziko.kampuni za kutengeneza injini tu za Aina zote za magari ,ndege ,meli nk na huuzia kampuni za kutengeneza magari.Hakuna hata kiwanda kimoja Cha kutengeneza magari,meli au ndege kinachotengeneza injini.Wote huweka order viwanda vya injini.Hata kiwanda Cha ndege Cha Boeing injini za ndege hununua.
 
Leo kwenye taarifa ya habari nimeona habari yakushtuaView attachment 1207658

Je hiyo meli imeteng’enezwa kweli au imefanyiwa assembled? Wajuvi tujuzeni
Kuna kifaa kinaitwa MV KAZI,kinavusha pale kivukoni magogoni dakika mbili-tatu. Wametengeneza hao Songoro Marine. Jamaa wako vizuri, wanajenga vivuko kibao awamu hii.
 
Engine zimeandikwa made in TZ? TZ kuna kiwanda gani cha kutengeneza engine?
Hii mkuu haina tofauti na zile mwendokasi za Dar,engine ni ya Marekani/Canada na hata gearbox,lakini body na finishing yote kafanya mchina,kwahiyo wachina wametengeneza ile basi,Ni made in China...
 
Baskeli yenyewe tumeshindwa meli ndio tutaweza?
Kuna watu wengine mimba ziliingia kwa bahati mbaya kwa sababu7ya kondomu kupasuka. Mbona meli wanatengeneza tu hapo mwanza, pia kulikuwa na mjerumani pale kamanga alikuwa anatengeneza vizuri sana. Songoro marine ni wazuri sana kwenye hiyo shughuli, leo hii mnuka mdomo anasema kama baiskeli hatutengenezi
 
Hii mkuu haina tofauti na zile mwendokasi za Dar,engine ni ya Marekani/Canada na hata gearbox,lakini body na finishing yote kafanya mchina,kwahiyo wachina wametengeneza ile basi,Ni made in China...
Soma comment yangu na uielewe. Isome taratibu, usipoielewa rudia tena na tena ndipo unijibu
 
Kuna watu wengine mimba ziliingia kwa bahati mbaya kwa sababu7ya kondomu kupasuka. Mbona meli wanatengeneza tu hapo mwanza, pia kulikuwa na mjerumani pale kamanga alikuwa anatengeneza vizuri sana. Songoro marine ni wazuri sana kwenye hiyo shughuli, leo hii mnuka mdomo anasema kama baiskeli hatutengenezi

Acha kukurupuka
 
Hujui kitu wewe makampuni yamagari yanateng’eneza engine zenyewe

Eti tiyota wanaenda kununua engine! pathenic
Land rover discovery 3 4.0 V6 ina Ford Engine
Ford Kuga ina Volvo 5-cylinder engine
Volvo zina Japanese automatic transmission
Range rover L322 3.0tdi ina BMW ENGINE
Kampuni za magari zina-share vitu kibao kutoka kwa watengenezaji wa vifaa duniani.
 
Sio Toyota tu. Hata VW, Ford nk. Kampuni za magari huwa wanaagiza almost kila kitu toka kwa manufacturers waliopo nchi mbalimbali. Ndipo wanavikusanya na kutengeneza finished products.

Sawa kwa kunielewesha hilo

Lakini sifa kuu ya gari ni engine kama gari lako sio bora kwa nini usiagize kama ya gari lingine?
 
Back
Top Bottom