Tanzania yateng’eneza meli

Tanzania yateng’eneza meli

Na hiyo sio ya kwanza mkuu. Ni wataalamu kweli kweli. Katika ziwa nyasa hiyo ni meli ya tatu. Mbili ni za mizigo,zilishaanza kazi na ziko imara kuliko za kuagiza. Ksbb Engine yake ni kubwa na zina speed kuliko za kuagiza. Hiyo kampuni ya SONGORO MARINE ni mzawa Head ofisi yake iko Mwanza. Kwa sasa wanaweza kuhamishia kazi zao Kigamboni wana eneo kubwa huko,si mbali kutoka kivukoni. Wametengeneza vivuko,maboti na maeneo mbalimbali. Ziwa Tanganyika,Wako Mombasa. Ni kampuni makini sana
Me Nyerere walitengeneza wao?
 
Unaota makampuni ya magari Ni Tofauti na ya kutengeneza injini.Japan ziko.kampuni za kutengeneza injini tu za Aina zote za magari ,ndege ,meli nk na huuzia kampuni za kutengeneza magari.Hakuna hata kiwanda kimoja Cha kutengeneza magari,meli au ndege kinachotengeneza injini.Wote huweka order viwanda vya injini.Hata kiwanda Cha ndege Cha Boeing injini za ndege hununua.
Ukiangalia teknolojia ilivyo, hata ukiangalia makala za utengenezaji ndege ama magari, kuna vitu kamapuni inaagiza kutoka sehemu nyingine. Kuna ambazo huagiza injini, seat, mabawa kutegemea na mahitaji.
 
Me Nyerere walitengeneza wao?
MV NYERERE hawakutengeneza wao,ila wanaikarabati baada ya kuzama,wanai-renew
2. Hapo Mwanza wametengeneza na hiyo meli KAYENZE BEZ,imeshakamilishwa na imeshushwa majini bado kukabidhiwa.
3. Watatengeneza kivuko kipya hapo.
3. Mombasa wamemaliza RAMP na wamekabidhi,wamepewa tenda ya meli hapo
4. kivuko kimoja-MAFIA
= BAG-ZANZIBAR
=DOCK-DAR
 
Huku mwanza kivuko kikubwa kinaitwa MV MWANZA wametengeneza hao washikaji achana nao kabisa hao jamaa


Kama wewe umekubali kushindwa bas umeshindwa wewe mwenyewe wenzako wameweza
 
Usimpe sifa bure hawa wameanz tengeneza meli kitambo refer kesi ya shigongo kuwasjitaki songoro baada ya kuwalipa ela wamjengee boat sijui ya kwenda ukelewe wakamzungusha boat wakajenga lakini hawakumpa
Kwa hiyo Songoro amazitengeneza bure?
 
Nimeusoma huu uzi wote hadi hapa, mwisho nikajikuta napata hasira tu kwakuona watu wana changanya chuki za kisiasa na professional za watu.
Anyway, ebu ngoja nikae kimya
 
Basi apige kambi na mafia tupate japo meli ndogo
 
Engine wananunua,tairi wananunua,gia box wananunua,nyaya za umeme za gari wananunua,taa za gari wananunua ,chuma wananunua,seat wananunua wanachofanya kazi kubwa Ni kazi ya welding ya kutengeneza bodi na kupachika hivyo walivyonunua yaani KU assemble .Viwandani vyao vina mitambo mikubwa automatic ya kuassemble.Japan Wana desingners wazuri wa kuchora bodi za magari na welders wazuri.Otherwise kinachofanyika ni.ku assemble tu.Niishie hapa siwezibwndelea kubishana na mtu mwenye lowest IQ Kama wewe sikujibu tena
Kampuni kubwa za ndege kama Boing na Airbus wanachokifanya hakina tofauti na anachokifaya Songoro Marine. Boing anatengeneza na kudesign body engine na mifumo mingine ni kutoka kampuni nyingine. Boing ya marekami zinatumia engine iliyotengenezwa na Rolls Royce ya Uingereza. Pia Airbus kama hizi za ATCL zinatumia engine za Pratty and Whitney engines ambazo hazitengenezwi na Airbus.
 
ndege nyingi za makampuni tofauti duniani, ikiwemo boeng nk,wanatumia engine za kampuni zingine hawatengenezi wao bali wananunua toka BMW na ROLLS ROYCE.
 
songoro marine wanatengeneza meli kabisa,wapo mwanza ila kwa sasa wana kazi nyingi afrika mashariki na hata malawi
 
Wewe ni katika wajinga Fulani watu wameshajitengenezea pikipiki na magari yao binafsi majumbani na Hadi plate number wanazo yako barabarani wewe sijui uko dunia gani
Mkuu usitumie hasira sana. Ukisema kutengeneza kwa maana halisi kwamba unafanya kila kitu, kwa tz bado. Labda ukiniambia kuunda body ya gari ama meli, lakini injini na nyaya kwaajili ya wirings bado vinazalishwa nje. Tukubali kwamba hatujawa na uwezo wa kutengeneza bali kuunganisha, japo nayo ni hatua kubwa mno. Jiulize mv Victoria iliundwa au ilitengenezwa nchini? Na kama ilitengenezwa nje ya nchi, kifaa gani kilisafirisha na ukubwa wote ule, kilipita wapi? Ukipata jibu hautashangaa kwa kinachofanyika songoro. Kikubwa katika uungaji huzingatia ukubwa pamoja na uzito wa kitu (vipimo)
 
Back
Top Bottom