Tanzania yateng’eneza meli

Tanzania yateng’eneza meli

Sawa kwa kunielewesha hilo

Lakini sifa kuu ya gari ni engine kama gari lako sio bora kwa nini usiagize kama ya gari lingine?
Gari ni zaidi ya Engine. Kama unaangali formula 1, Mercedes wanasupply engine kwa washindani wengine kadhaa lakini bado Mercedes as a team ina gari inakimbia kuliko hao waliowapa engine(.....hakuna hujuma)
 
Ndoto za magufuli zimeanza kutimia hata miaka mitano haijaisha

Hongera Rais kwa kujali Wataalamu wa Ndani
Mmh huyo jamaa mbona anatengeneza Meli kitambo tokea wakati wa kikwete alishapewa tenda akaunda kwenye lakes zetu... Acha kutoa sifa ovyo ovyo mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni.. mabati yanaungwa kufuata michoro na vifaa vya kuendeshea na kuongoza vinaagizwa nje
 
Engine wananunua,tairi wananunua,gia box wananunua,nyaya za umeme za gari wananunua,taa za gari wananunua ,chuma wananunua,seat wananunua wanachofanya kazi kubwa Ni kazi ya welding ya kutengeneza bodi na kupachika hivyo walivyonunua yaani KU assemble .Viwandani vyao vina mitambo mikubwa automatic ya kuassemble.Japan Wana desingners wazuri wa kuchora bodi za magari na welders wazuri.Otherwise kinachofanyika ni.ku assemble tu.Niishie hapa siwezibwndelea kubishana na mtu mwenye lowest IQ Kama wewe sikujibu tena
Akili za kuku tuwasaidie tafuta songoro marine youtube harafu uje tena
 
Kuna watu nataman niwaone live yaanmaaana concept ndogo sana zinawashinda kuelewa hv Tz Mna viwanda vya manufacturing? Hasa hasa mitambo kama ya meli achen bangi hao walikuwa wana Assemble. Muleke ubhutojofu asee
 
Ww ni mzima kweli kichwani kuku ww ulishawaho wafatilia hao songoro marine hata mtandaoni tu unabisha nn meli wanatengeneza kunguru ww
 
Na hiyo sio ya kwanza mkuu. Ni wataalamu kweli kweli. Katika ziwa nyasa hiyo ni meli ya tatu. Mbili ni za mizigo,zilishaanza kazi na ziko imara kuliko za kuagiza. Ksbb Engine yake ni kubwa na zina speed kuliko za kuagiza. Hiyo kampuni ya SONGORO MARINE ni mzawa Head ofisi yake iko Mwanza. Kwa sasa wanaweza kuhamishia kazi zao Kigamboni wana eneo kubwa huko,si mbali kutoka kivukoni. Wametengeneza vivuko,maboti na maeneo mbalimbali. Ziwa Tanganyika,Wako Mombasa. Ni kampuni makini sana
Kwa hiyo mkuu mpaka injini nayo inasukwa hapo hapo au inaagizwa na kupachikwa kabla sijakuja kwenye swali la msingi
 
Usimpe sifa bure hawa wameanz tengeneza meli kitambo refer kesi ya shigongo kuwasjitaki songoro baada ya kuwalipa ela wamjengee boat sijui ya kwenda ukelewe wakamzungusha boat wakajenga lakini hawakumpa
Ndoto za magufuli zimeanza kutimia hata miaka mitano haijaisha

Hongera Rais kwa kujali Wataalamu wa Ndani
 
Siyo kweli, watu wanakaa chini wana design kitu then vitu ambavyo hawatengenezi wanapeleka design na order katika kiwanda kinachotengeneza, mfano utakuta labda katika kiwanda cha tòyota, redio, taa hawatengenezi wao lakini walidesign waka outsource production, vitu kama body, engine wanatengeneza wao
Meli,magari ,pikikii vyote huwa vinakuwa assembled kiswahili inaitwa kutengeneza.Hata mjapani magari yote anachofanya Ni KU assemble kiswahili tunaita kutengeneza but kiingereza Ni ku assemble
 
Kuna vitu wana outsource, hata computer mfano dell utakuta hard disk ni samsung, processor ni intel, graphic card ni intel au amd, motherboard ndo dell mwenyewe, same applied kwa meli, body kalisuka songoro, mfumo wa umeme songoro, engine kanunua kwa watengenezaji kafunga navigation na vifaa vya control kanunua na kuvifunga
Kwa hiyo mkuu mpaka injini nayo inasukwa hapo hapo au inaagizwa na kupachikwa kabla sijakuja kwenye swali la msingi
 
Kuna vitu wana outsource, hata computer mfano dell utakuta hard disk ni samsung, processor ni intel, graphic card ni intel au amd, motherboard ndo dell mwenyewe, same applied kwa meli, body kalisuka songoro, mfumo wa umeme songoro, engine kanunua kwa watengenezaji kafunga navigation na vifaa vya control kanunua na kuvifunga
Injini wanasuka wenyewe au wanaagiza ujajibu swali
 
Hakuna kampuni inayotengeneza kila kitu yenyewe iwe Ndege, Gari ama simu.

Hujui kitu wewe makampuni yamagari yanateng’eneza engine zenyewe

Eti tiyota wanaenda kununua engine! pathenic
 
Kuna watu nataman niwaone live yaanmaaana concept ndogo sana zinawashinda kuelewa hv Tz Mna viwanda vya manufacturing? Hasa hasa mitambo kama ya meli achen bangi hao walikuwa wana Assemble. Muleke ubhutojofu asee
Ndugu yangu kumwelewa mtz ni kazi ngumu sana bhingi amahala mapepe
 
Baskeli yenyewe tumeshindwa meli ndio tutaweza?
Weye ni mtoto wa juzi nini tulikuwa na baiskeli swala tukitengeneza pale mwenge kabla ya wajanja kuua kiwanda na kuwapa wahindi wa Shellys na pia tumetengeneza bari letu pale Nyumbu jeshini,hata hizi meli zinatengenezwa hapahapa,tembea uone sio unakaa tu na kitecno chako na kuanza kuleta ligi.
 
Back
Top Bottom