Kwa mtazamo wangu utengenezaji wa Meli ni wa mfumo wa Assembly. So inawezekana tu kutengeneza, hapa hapa muhimu ni yard na malighafi nyinginezoLeo kwenye taarifa ya habari nimeona habari yakushtuaView attachment 1207658
Je hiyo meli imeteng’enezwa kweli au imefanyiwa assembled? Wajuvi tujuzeni
magari,pikipiki pia yaweza tengenezwa nchini sababu nayo Ni KU assemble tu .Ni vitu vyaweza tengenezwa hata majumbani gereji za uswahilini au hata nyumbani kwa mtuKwa mtazamo wangu utengenezaji wa Meli ni wa mfumo wa Assembly. So inawezekana tu kutengeneza, hapa hapa muhimu ni yard na malighafi nyinginezo
Kwa mtazamo wangu utengenezaji wa Meli ni wa mfumo wa Assembly. So inawezekana tu kutengeneza, hapa hapa muhimu ni yard na malighafi nyinginezo
Leo kwenye taarifa ya habari nimeona habari yakushtuaView attachment 1207658
Je hiyo meli imeteng’enezwa kweli au imefanyiwa assembled? Wajuvi tujuzeni
Kwa mtazamo wangu utengenezaji wa Meli ni wa mfumo wa Assembly. So inawezekana tu kutengeneza, hapa hapa muhimu ni yard na malighafi nyinginezo
Meli,magari ,pikikii vyote huwa vinakuwa assembled kiswahili inaitwa kutengeneza.Hata mjapani magari yote anachofanya Ni KU assemble kiswahili tunaita kutengeneza but kiingereza Ni ku assembleLeo kwenye taarifa ya habari nimeona habari yakushtuaView attachment 1207658
Je hiyo meli imeteng’enezwa kweli au imefanyiwa assembled? Wajuvi tujuzeni
Meli,magari ,pikikii vyote huwa vinakuwa assembled kiswahili inaitwa kutengeneza.Hata mjapani magari yote anachofanya Ni KU assemble kiswahili tunaita kutengeneza but kiingereza Ni ku assemble
Ndoto za magufuli zimeanza kutimia hata miaka mitano haijaisha
Hongera Rais kwa kujali Wataalamu wa Ndani
Wewe ni katika wajinga Fulani watu wameshajitengenezea pikipiki na magari yao binafsi majumbani na Hadi plate number wanazo yako barabarani wewe sijui uko dunia ganiBaskeli yenyewe tumeshindwa meli ndio tutaweza?
Yapo majitu humu yataponda ! Yaan !Habari nzuri sana
Wewe ni katika wajinga Fulani watu wameshajitengenezea pikipiki na magari yao binafsi majumbani na Hadi plate number wanazo yako barabarani wewe sijui uko dunia gani
[/QUOUTE]
Watu wameshindwa tengeneza ata toothstick ndio wataweza piki piki wewe umeona piki piki ime-assbled unasema imetengenezwa
Meli,magari ,pikikii vyote huwa vinakuwa assembled kiswahili inaitwa kutengeneza.Hata mjapani magari yote anachofanya Ni KU assemble kiswahili tunaita kutengeneza but kiingereza Ni ku assemble
Engine wananunua,tairi wananunua,gia box wananunua,nyaya za umeme za gari wananunua,taa za gari wananunua ,chuma wananunua,seat wananunua wanachofanya kazi kubwa Ni kazi ya welding ya kutengeneza bodi na kupachika hivyo walivyonunua yaani KU assemble .Viwandani vyao vina mitambo mikubwa automatic ya kuassemble.Japan Wana desingners wazuri wa kuchora bodi za magari na welders wazuri.Otherwise kinachofanyika ni.ku assemble tu.Niishie hapa siwezibwndelea kubishana na mtu mwenye lowest IQ Kama wewe sikujibu tenaJapan kwa hiyo wananunua engine?