Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,377
- 4,847
Tanzania imejumuishwa kwenye orodha ya nchi 15 mpya zinazokabiliwa na vikwazo vya kusafiri kwenda Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump.
Hatua hiyo inaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi za Afrika na visiwa vya Karibiani zilizotajwa kuwekewa masharti mapya ya usafiri.
Kwa mujibu wa serikali ya Marekani, uamuzi huo umetokana na kile ilichokitaja kuwa changamoto katika mifumo ya utambuzi na uhakiki wa raia.
Utawala wa Trump ulidai kuwa baadhi ya nchi, zikiwemo zilizoongezwa kwenye orodha hiyo, zina viwango vya rushwa, udhaifu katika nyaraka za kiraia, au taarifa za uhalifu zisizoaminika, hali inayodaiwa kufanya mchakato wa kuhakiki wasafiri kuwa mgumu.
Hizi ndio nchi zilizopo kwenye orodha
Original 12 countries
Countries under partial entry restrictions
Previously listed
An additional 15 countries are also being added to the list of countries facing partial restrictions: Angola, Antigua and Barbuda, Benin, Côte d’Ivoire, Dominica, Gabon, Gambia, Malawi, Mauritania, Nigeria, Senegal, Tanzania, Tonga, Zambia and Zimbabwe.
The Trump administration said in its announcement of the expanded travel ban that many of the countries from which it was restricting travel had “widespread corruption, fraudulent or unreliable civil documents and criminal records” that made it difficult to vet their citizens for travel to the U.S. It also said some countries had high rates of people overstaying their visas, refused to take back their citizens who the U.S. wished to deport or had a “general lack of stability and government control,” which made vetting difficult.
Source: NBC

- Afghanistan
- Burma
- Chad
- Republic of the Congo
- Equatorial Guinea
- Eritrea
- Haiti
- Iran
- Libya
- Somalia
- Sudan
- Yemen
- Burkina Faso
- Mali
- Niger
- South
- Sudan
- Syria
- Laos
- Sierra Leone
Countries under partial entry restrictions
Previously listed
- Burundi
- Cuba
- Togo
- Venezuela
- Angola
- Antigua and Barbuda
- Benin
- Cote d’Ivoire
- Dominica
- Gabon
- The Gambia
- Malawi
- Mauritania
- Nigeria
- Senegal
- Tanzania
- Tonga
- Zambia
- Zimbabwe