Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

Ulitaka ngapi?? Zinatosha kwa idadi ya wagonjwa tulio nao!! Tutakuwa tunaagiza kwa kadri tutakavyohitaji!!
Kwa hiyo huoni kama ni hasara kupeleka ndege kwenda kuleta vijiboksi

Au fedha ya walipakodi wa Tanzania haina uchungu?
 
Hasara kupotez uhai wa watu ,hata kama ni mmoja,heri apone hta kwa gharama za budget yote ya nchi
 
kikombe cha babu wa Madagascar sio msaada tumelipia kwa pesa zetu za ndani.
Madagascar reimposes lockdown in capital as coronavirus cases surge
By Bukola Adebayo, CNN

Updated 1:45 PM ET, Mon July 6, 2020

A member of the National Defense Force stands at a checkpoint as part of measures put in place to combat the spread of coronavirus in Antananarivo, Madagascar, in March.

(CNN)Madagascar has reimposed a lockdown in its central region, which includes its capital Antananarivo, in an effort to tackle an increase in coronavirus cases in the city, according to the country's government.
Schools and universities in the city have been closed and nonessential travel within the region is prohibited until July 20.
Authorities say churches will be shut, and public gatherings of more than 50 people have been banned.
The government said troops have been deployed to affected districts to ensure residents comply with containment measures, including a curfew in the capital city, the government said.
 
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.

Ndege maalum ya ujumbe wa Tanzania ikiwasili nchini Madagascar Katika Uwanja wa Kimataifa wa Ivato kupata mimea ya Covid Organics, mchango kutoka Jamhuri ya Madagascar. Ujumbe huo ulipokelewa na Mkuu wa diplomasia Djacoba Tehindrazanarivelo.

Tupeni mrejesho wakuu maana Madagascar wao Jana tu hapo wameingia kwenye lockdown
 
Kuna hatari ya kwetu kurejea hayo. Tume relax sana mpaka tumefikia kufanya send party ya Covid-19!
Tuliweka Mungu awe Kinga yetu,
Na ame tufariji mno.
Na ataendelea kuufariji kwa vile tumemtegemea yeye kiukweli.
Hongera Raisi wetu Magufuli kwa kuonesha Ujasiri na Mapenzi Kwa Mungu Muumba Na imani Thabit.
 
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.

Ndege maalum ya ujumbe wa Tanzania ikiwasili nchini Madagascar Katika Uwanja wa Kimataifa wa Ivato kupata mimea ya Covid Organics, mchango kutoka Jamhuri ya Madagascar. Ujumbe huo ulipokelewa na Mkuu wa diplomasia Djacoba Tehindrazanarivelo.

HIZI KODI ZETU WATAZILIPA TU, hivi hiyo JUISI YA LIMAU mloenda kuchukua kwa ndege binafsi kwa gharama zaidi ya milioni 100 huko Madagaska na mkasema inatibu COVID 19 imeishia wapi?
Mbona Nadagaska wanakufa kama kunguni na kupuputika?
Ina maana wao waliwapa dawa original na wao wakabaki na feki?

Mlisema mnapeeka na watu watauziwa, ipo wapi hii dawa kwa sasa?

Lile papai mlilopima limepona?
 
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.

Ndege maalum ya ujumbe wa Tanzania ikiwasili nchini Madagascar Katika Uwanja wa Kimataifa wa Ivato kupata mimea ya Covid Organics, mchango kutoka Jamhuri ya Madagascar. Ujumbe huo ulipokelewa na Mkuu wa diplomasia Djacoba Tehindrazanarivelo.

Nakulilia Tanzania
 
Back
Top Bottom