Tanzania yapaa kijeshi Duniani

Tanzania yapaa kijeshi Duniani

Ha ha ha labda Afande vitofali...maana siku ya uhuru walivunja sana matofali ya kuchoma kichwani!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Hizo rank hazijapangwa kwa mtitiriko wa ubora bali hao waliotajwa kwa ujumla ndio wakali wa dunia kwasasa...
 
Sifa za kijinga hizi. Badala ya kulinda raslimali zetu dhidi ya brifcase coys mnazuzuka na sifa hatarishi za kuharasi amani.?!
 
Kaka nashukuru kwa mchango wako. Ila nakuambia hapa unapoteza muda wako kuwambia hawa wajinga ni lipi jeshi lao na nchi yao imefanya ndani na nje ya mipaka kwa ajili ya waafrica na hata ulimwengu mnzima.

Njaa na kutokuwa na kazi ndio majawabu haya,upuuzi kila kona. Tukianza na suala la kazi, ni nani wa kuwalaumiwa? Viongozi walio madarakani au hawa vijana wanao wachagua?

Jwtz ni kitengo ambacho pia tusipo angalia wanasiasa watakiharibu pamoja Usalama wa Taifa kuna ukabila na udini kiasi mado maaadili hayajekwenda popote.

Nguvu yenu nyinyi wafia njaa hapa jamiiforum, mnaotukana nchi na vipngozi wenu, ni kura zenu.

Mnataka nchi bora? Chagueni viongozi bora na katiba bora muache kulalamika kama wanawake.


The king.

Jeshi letu ni jeshi zuri...ninachoogopa ni kuwa waangalifu tusijekulewa na hizi sifa za mitandaoni.
 
Wa TZ wanachekesha sana kumbe hawa jiamini na jeshi Lao
 
Yale maonyesho ya watu waliokomaa pale uwanja wa Shamba la bibi, kumbe yametupandisha chati eeh...
Angalia ufanisi kwenye matukio Majenshi ya Tanzania yalipohusishwa,Congo,Anjuan,Darfur na Lebanon,hapo unaweza jugde ubora na uwezo wao..nadhani jeshi la Tanzania liko vizuri sana kuliko wengi wanavodhani!
 
Pole sana mkuu! Nakushauri uendelee kusifia nchi jirani.

Watu wengine sijui nani kawaloga hadi wanaichukia Tanzania. Mimi pamoja na shida zetu, kero zetu siwezi isema vibaya nchi yangu kwa watu kama naona sina maneno huwa nakaa kimya
Tanzania Army is the best army in Africa....hilo ndio fact....matatizo yetu mengine tutayajadili kwenye mada zingine......kuna mjadala nilikuwa nafatilia hata comments nyingi za Wanaigeria walikuwa wanakiri Tanzania tuna jeshi bora....hasa kichapo walichopata M23 kimetupaisha sana plus historia nzuri ya jeshi letu.

Tumeweza ndio maana UN wanatuamini na kutuita kwenda sehemu mbali mbali kusaidia
 
Nyie mnao ponda jeshi letu kuwa ranked that high ni nini mbaya??? Embu jifunzeni kua appreciative kidogo kwa nchi yenu yah hatukatai nchi yetu ina matatito lakini inapofaa kupongezwa ipeni sifa yake mnapondaaaaa as if nyie mkiambiwa muende kupigana kama soldiers wetu hao mnaweza, hongereni sana JWTZ keep up the good work be blecd a million tyms.
 
Haya mambo ya mitandao yanadanganya sana, inakuwaje "irag special forces" inakuwa listed wakati ISIS wamewasambaratisha kama kundi LA Mbuzi?????. inatia mashaka.
 
Tofauti na wengi wanavyojua,tanzania imeanza kutajwa na mitandao mbalimbali kati ya vikosi 35 bora zaidi duniani kwa vifaa bora,mafunzo sahihi na uwezo wa kupigana kwenye mazingira yoyote,dunia imeshangazwa na ufanisi wa JWTZ Kongo kwani chini ya kapeti Rwanda haikukubali kirahisi m23 kushindwa,na ni nchi pekee kutoka Africa huku Asia ikitoa nchi kadhaa,sasa Tanzania inawekwa level moja na seal ya USA,special force ya Israel na wakali wengine.

Source clouds fm na website mbalimbali.


Hapo tu kwenye source ndo nmechokaaaa....ctaman kuendelea Uko chini
 
Wacha kudanganya watu wewe.
Clouds fm wadaku tu, hawana lolote.

Vipindi vyao vingi ni kutongozea watu tu. Na uchafu wa kuharibu jamii.

Jeshi bora wangechoma kambi nzima na kuuwa wananchi bila mpango?

Mabomu wameyahifadhi kama nyanya! Na maafande wenyewe asilimi 90% wavuta bangi. Ukipishana nao macho mekunduu ka nyani kanyimwa ndizi.

Tuombe Mungu tu! Lkn wakija wazee wa gasia hapo bongo hilo jeshi njaa litauwa raia wengi kuliko maadui.
Kama wale wajaluo wa kenya na ile issue ya west gate.

Ndugu yangu Niko DRC ni Mtanzania ..... acha kabisa TBDF issue nyingine na ni zaidi ya vile ujuavyo.....usikariri
 
Ndugu yangu Niko DRC ni Mtanzania ..... acha kabisa TBDF issue nyingine na ni zaidi ya vile ujuavyo.....usikariri

Wacha kudanganya watu mkuu.
Mimi nafahamu kuliko unavyonifikiri.
Jeshi la Tz Ni njaa tu! Mabuti makuubwa lkn hamna lolote.

Wakati inatokea milipuko ubalozi wa marekani hao wanajeshi wakaanza kugongana wao kwa wao lugalo kabla hata hawajafika kwenye tukio.

Yaani ni hio rehema ya Mungu tu hatujavamiwa,
Lkn siku wakituvamia hapa nyie na hao wanamigambo ndio mtakuwa wa kwanza kutupora mali zetu.
 
RFA nao wametangaza hiyo habari mchana huu.It is real weird and absurd!
 
Angalia ufanisi kwenye matukio Majenshi ya Tanzania yalipohusishwa,Congo,Anjuan,Darfur na Lebanon,hapo unaweza jugde ubora na uwezo wao..nadhani jeshi la Tanzania liko vizuri sana kuliko wengi wanavodhani!
wala hamna lolote hatuko fit kijeshi wala nini,uko comoro,drc, kama tunauwezo kweli wa kijeshi waende kumsaka koni, au boko haramu,hata al-shabab kama hatujamwagwa maviii
 
Non-sense propaganda aiming at securing political favor,Tanzania is among the most poor and highly indebted sub sahara country.
 
jeshii ni eneo pekee ambalo kodi yangu naona inatumika kwa nidhamu
 
Back
Top Bottom