napata shida kwa sababu wanajeshi kutoka Tanzania ndo wanaongoza kwa kuuwawa huko nje.. ubora wetu uko wapi..??
Si kweli,statistics znaonyesha tofaut,tungekuwa tunakufa weng tusingekuwa efficient
napata shida kwa sababu wanajeshi kutoka Tanzania ndo wanaongoza kwa kuuwawa huko nje.. ubora wetu uko wapi..??
Hii sio news ya Clouds na clouds ni miongoni mwa radio pendwa sana nchini; Shida yako unapenda sana kusifia magaidi.Nenda kaungane nao kisha waambie waje waone kichapo cha mbwa mwizi na watavua hijabu husoni na watanyoa ndevu zote wale sheinzyy typeClouds fm wadaku tu, hawana lolote.Vipindi vyao vingi ni kutongozea watu tu. Na uchafu wa kuharibu jamii.
Jeshi bora wangechoma kambi nzima na kuuwa wananchi bila mpango?
Mabomu wameyahifadhi kama nyanya! Na maafande wenyewe asilimi 90% wavuta bangi. Ukipishana nao macho mekunduu ka nyani kanyimwa ndizi.
Tuombe Mungu tu! Lkn wakija wazee wa gasia hapo bongo hilo jeshi njaa litauwa raia wengi kuliko maadui.
Kama wale wajaluo wa kenya na ile issue ya west gate.
sheinzyy type
We kweli Ash Shabaabu yaaani neno Sheinzzy ulitaka nalo liandikwe vizuri...?!! For what usijekuwa umelewa KOJO la dudu la jangwani. Manake kojo lake si mchezo linanuka balaaaaaaaaaaaaaaUsituandikie kichaga humu!
Au damu ya bwana imepanda kichwani.