kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,156
- 11,608
Kaka nashukuru kwa mchango wako. Ila nakuambia hapa unapoteza muda wako kuwambia hawa wajinga ni lipi jeshi lao na nchi yao imefanya ndani na nje ya mipaka kwa ajili ya waafrica na hata ulimwengu mnzima.
Njaa na kutokuwa na kazi ndio majawabu haya,upuuzi kila kona. Tukianza na suala la kazi, ni nani wa kuwalaumiwa? Viongozi walio madarakani au hawa vijana wanao wachagua?
Jwtz ni kitengo ambacho pia tusipo angalia wanasiasa watakiharibu pamoja Usalama wa Taifa kuna ukabila na udini kiasi mado maaadili hayajekwenda popote.
Nguvu yenu nyinyi wafia njaa hapa jamiiforum, mnaotukana nchi na vipngozi wenu, ni kura zenu.
Mnataka nchi bora? Chagueni viongozi bora na katiba bora muache kulalamika kama wanawake.
The king.
Mkuu mbona unapayuka km umekula magimbi?
We hujui kuwa huu ni Mwezi wa toba!