Tanzania yapaa kijeshi Duniani

Tanzania yapaa kijeshi Duniani

RFA nao wametangaza hiyo habari mchana huu.It is real weird and absurd!

How is that weird and absurd? Its our men and women im uniform. We dnt need such news to prove that our army is powerful. And i repeat all of you traitors will never top our country and our army.

The king.
 
Inatusaidia nini kuwa na jeshi bora wakati wananchi wanakufa na umasikini, ujinga na maradhi. Rubbishhhh...
 
What most people dont know;We have the best teams than that in Congo. Yes, we have special units highly trained animals. I cant spill all. But i dare to say, Tanzania is capable of fighting more than two wars coast to coast with full force.

The king.
 
Hizo ni twakwimu binafsi za mwenye hiyo site. Hakuna board au organization yenye metrics za kujua the best special forces. Akili ndogo muwe mnafikiria sometimes kabla ya ku post. Vijana wa bongo wapo juu. Ila sikubaliani na mambo ya habari za udaku kutumiwa na Great thikners kama ni source ya information. How credible is that information? Kwa akili yako ndogo utanishangaa kwanini nadharau chanzo chako cha information na utaniona kama limbukeni. Ila si kosa lako ukifikiria hivyo sababu wewe ni akili ndogo kama utapingana na hichi nachosema
 
mnazungumzia jeshi gn? ni hili hili ukivaa fulana, kapelo, sidiria, kaptula, bukta ina rangi km zao wanakupiga mpk unazimia ama?
 
Hizo ni twakwimu binafsi za mwenye hiyo site. Hakuna board au organization yenye metrics za kujua the best special forces. Akili ndogo muwe mnafikiria sometimes kabla ya ku post. Vijana wa bongo wapo juu. Ila sikubaliani na mambo ya habari za udaku kutumiwa na Great thikners kama ni source ya information. How credible is that information? Kwa akili yako ndogo utanishangaa kwanini nadharau chanzo chako cha information na utaniona kama limbukeni. Ila si kosa lako ukifikiria hivyo sababu wewe ni akili ndogo kama utapingana na hichi nachosema

mbona hujiamini dogo?
 
Nyie hamjajua ki2! hapo 2nadanganywa ili 2jipeleke somalia kiulaini halafu mje muone yatakayo 2kuta!! mi cmo shauli yenu!
 
mbona hujiamini dogo?
Nachefuka pale mtu mwenye akili ndogo anaponijibu maana anajibu ushuzi ushuzi tu mpaka nakereka. Ndo maana huwa natoa tahadhari mapema ili wasijisumbue kujibu. Maaana mtu anakujibu utumbo mpaka unaona kichawani kwake hamna kitu ni sifuriii .Wapo wamejaa humu J Forums au niwataje?
 
Mbona kama ni hivyo tembo na faru wanateketea? Jeshi letu je haliwezi kuzuia kutoweka kwa rasilimali ya taifa. Tusijidanganye kuwa tunaweza kuchokoza magaidi halafu waki-react tunawadhibiti kwa silaha zenye kutu zilizoonyeshwa uwanja wa taifa
 
Nachefuka pale mtu mwenye akili ndogo anaponijibu maana anajibu ushuzi ushuzi tu mpaka nakereka. Ndo maana huwa natoa tahadhari mapema ili wasijisumbue kujibu. Maaana mtu anakujibu utumbo mpaka unaona kichawani kwake hamna kitu ni sifuriii .Wapo wamejaa humu J Forums au niwataje?

dogo unamatatizo gani?unaweza kuona akili ya mtu?kaa kimya ufiche upuuzi wako
 
dogo unamatatizo gani?unaweza kuona akili ya mtu?kaa kimya ufiche upuuzi wako
sikushangai akili dogo in practice. sina muda wa kujibishana na mjinga kama wewe amabaye unaamini kila kiandikwacho kwenye mtandao na kukibeba kama kilivyo bila ya kupima authenticity na credibility ya source.
 
umejuaje kama naamini,she think she knows alot about lots of things,(sijuhi jinsia yako lakin nina maana yangu kutumia she)
 
Sikuona ajabu kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kuwa kwenye orodha ya majeshi yenye ufanisi mkubwa duniani. Sikuona ajabu kwa sababu Jeshi letu ndiyo pekee katika Afrika kusini mwa jangwa la Sahara lililojitoa, wakitumia silaha duni lakini kwa moyo mkubwa na uzalendo usioelezeka, kupigania ukombozi wa mwafrika aliyedhalilishwa kwa kutawaliwa na wengine kuuzwa kama kanzu na binadamu wenzake. Kwa kifupi JWTZ ni jeshi la ukombozi. Hiyo ni sifa ambayo ipo, bila kujali kama mtu yeyote anaikubali ama anaipuuza, ipo tu!

Nalipongeza Jeshi la Wananchi, naipongeza serikali ya Rais Kikwete kwa mafanikio haya. Rais Kikwete katika uongozi wake amefanya operesheni mbili kubwa ambazo zote zilikuwa na mafanikio. Mafanikio hayo ni ya Rais Kikwete kama Amiri Jeshi Mkuu kwa niaba ya watanzania wote na kwa niaba ya binadamu wote wapenda amani na heshima ya utu. Operseheni ya kwanza ni ile ya mwaka 2008 kumuondoa dikteta Kanali Mohamed Bacar aliyeng'ang'ania madaraka katika kisiwa cha Anjuan nchini Komoro. Sote pengine tunajua kwamba ndani ya muda mfupi baada ya kuwasili kwa wanajeshi wa Tanzania waliongoza mapambano yale wakishirikiana na Sudan, Kanali Bacar aliikimbia Anjuan ikisemekana alitoroka akivaa baibui. Operesheni ya pili ni ya mwaka 2013 kuwaondoa waasi wa M23 nchini Kongo. Kitendo cha Rais kuamua kukomesha udhalilishaji wa kina mama wa Kongo na mauaji ya watu wasio ni hatia uliofanywa na kikundi cha M23 kilikuwa ni cha kijasiri sana.

Ni matumaini yangu kwamba uongozi wa awamu ya tano utayaendeleza mafanikio hayo kwa kwenda hatua zaidi; kuwekeza katika utafiti. Jeshi linalototegemea mbinu na zana zilizogunduliwa na wengine haliwezi kuwa na uhakika muda wote kumshinda adui. Ingawa sisemi tusiwategemee wengine lakini ni muhimu kuliwezesha jeshi kujitegemea kwa fikra na zana kwa njia ya kufanya utafiti, kubuni na kutengeneza zana zake yenyewe. Nchi zenye nguvu kama Marekeni zimefika hapo kwa sababu ya utafiti. Sasa wamewekeza dola bilioni 100 katika ujenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Anga kilomita 350 kutoka duniani kwa ajili ya utafiti wa anga. Hatuwezi kuwa kama wenzetu lakini tutaweza kumuda kuyatawala mazingira yetu vizuri kama tutawekeza katika utafiti.

Nimalizie kwa kusema; tumepata sifa nzuri, lakini tusijaze upepo vichwani tukadhani sisi ni viranja wa kugonga kwenzi kila anayeonekana kuwa na mawazo tofauti na sisi, hapana! Tuendelee katika misingi ile ile ya kupigana inapobidi kulinda heshima ya utu wa mwanadamu, umoja, uhuru na amani. Na tunapolijenga jeshi letu, tulijenge katika lengo hilo. Hongera JWTZ.
 
Jamani ongeeni yote,haters pondeni lakini Tanzania ni nzuri kijeshi Afrika na hata kidunia. Msioamini na mpo Dar naomba piteni pale Sabasaba banda la JWTZ mkapewe taarifa nyingi za jeshi letu. Mtapewa pia taarifa za hizo SPECIAL FORCES. Humu wengi mtaleta u shabiki na hata data hamna!
 
Sikuona ajabu kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kuwa kwenye orodha ya majeshi yenye ufanisi mkubwa duniani. Sikuona ajabu kwa sababu Jeshi letu ndiyo pekee katika Afrika kusini mwa jangwa la Sahara lililojitoa, wakitumia silaha duni lakini kwa moyo mkubwa na uzalendo usioelezeka, kupigania ukombozi wa mwafrika aliyedhalilishwa kwa kutawaliwa na wengine kuuzwa kama kanzu na binadamu wenzake. Kwa kifupi JWTZ ni jeshi la ukombozi. Hiyo ni sifa ambayo ipo, bila kujali kama mtu yeyote anaikubali ama anaipuuza, ipo tu!

Nalipongeza Jeshi la Wananchi, naipongeza serikali ya Rais Kikwete kwa mafanikio haya. Rais Kikwete katika uongozi wake amefanya operesheni mbili kubwa ambazo zote zilikuwa na mafanikio. Mafanikio hayo ni ya Rais Kikwete kama Amiri Jeshi Mkuu kwa niaba ya watanzania wote na kwa niaba ya binadamu wote wapenda amani na heshima ya utu. Operseheni ya kwanza ni ile ya mwaka 2008 kumuondoa dikteta Kanali Mohamed Bacar aliyeng’ang’ania madaraka katika kisiwa cha Anjuan nchini Komoro. Sote pengine tunajua kwamba ndani ya muda mfupi baada ya kuwasili kwa wanajeshi wa Tanzania waliongoza mapambano yale wakishirikiana na Sudan, Kanali Bacar aliikimbia Anjuan ikisemekana alitoroka akivaa baibui. Operesheni ya pili ni ya mwaka 2013 kuwaondoa waasi wa M23 nchini Kongo. Kitendo cha Rais kuamua kukomesha udhalilishaji wa kina mama wa Kongo na mauaji ya watu wasio ni hatia uliofanywa na kikundi cha M23 kilikuwa ni cha kijasiri sana.

Ni matumaini yangu kwamba uongozi wa awamu ya tano utayaendeleza mafanikio hayo kwa kwenda hatua zaidi; kuwekeza katika utafiti. Jeshi linalototegemea mbinu na zana zilizogunduliwa na wengine haliwezi kuwa na uhakika muda wote kumshinda adui. Ingawa sisemi tusiwategemee wengine lakini ni muhimu kuliwezesha jeshi kujitegemea kwa fikra na zana kwa njia ya kufanya utafiti, kubuni na kutengeneza zana zake yenyewe. Nchi zenye nguvu kama Marekeni zimefika hapo kwa sababu ya utafiti. Sasa wamewekeza dola bilioni 100 katika ujenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Anga kilomita 3500 kutoka duniani kwa ajili ya utafiti wa anga. Hatuwezi kuwa kama wenzetu lakini tutaweza kumuda kuyatawala mazingira yetu vizuri kama tutawekeza katika utafiti.

Nimalizie kwa kusema; tumepata sifa nzuri, lakini tusijaze upepo vichwani tukadhani sisi ni viranja wa kugonga kwenzi kila anayeonekana kuwa na mawazo tofauti na sisi, hapana! Tuendelee katika misingi ile ile ya kupigana inapobidi kulinda heshima ya utu wa mwanadamu, umoja, uhuru na amani. Na tunapolijenga jeshi letu, tulijenge katika lengo hilo. Hongera JWTZ.

Una hekima alafu una akili,umeandika kikomavu kabisa,umeelezea sifa,changamoto na kutoa ushauri,safi sana
 
How is that weird and absurd? Its our men and women im uniform. We dnt need such news to prove that our army is powerful. And i repeat all of you traitors will never top our country and our army.

The king.

Wewe andika kibantu! Unakanganya maneno ka umekunywa taptap!

Nyie ndo vibaka mnaoletewa mabomu ya magendo mkawauzia watu ka nyanya.
Matokeo yake mtu akigombana na mkewe tu anamtupia.

Huko Arusha naskia mna wateja wengi sana.
Siku tukimtia mkononi huyo shemeji yako afande matonyonso atanyea mkononi.

Njaa yenu inaumiza wengi sana.
 
Back
Top Bottom