Tanzania yapaa kijeshi Duniani

Tanzania yapaa kijeshi Duniani

Mbona kama ni hivyo tembo na faru wanateketea? Jeshi letu je haliwezi kuzuia kutoweka kwa rasilimali ya taifa. Tusijidanganye kuwa tunaweza kuchokoza magaidi halafu waki-react tunawadhibiti kwa silaha zenye kutu zilizoonyeshwa uwanja wa taifa

Mkuu jeshi lipo wizara ya ulinzi na usalama wa taifa wakati tembo wapo wizara ya utalii na mali asili hawaingiliani katika majukumu, Labda sekta ya Mali asili iingizwe ndani ya Wizara ya Ulinzi na Usalama wa Taifa maoni kwa Rais anaekuja 2015
 
KDF ni wadokozi au umesahau ile operation yao dhidi ya Alshabab walivyokwapuzi.

Westgate wanaenda na Tanks kwa watu wanne tena wanapiga swala humo ndani.

Wakaishia kutoka na vifuko vyeupe

Mwisho wa siku wanaishia kulipua jengo zima na wakawakosa. Kweli aibu ya mwaka
 
Nasisitiza tena. Nendeni pale kwenye maonesho ya sabasaba. Kuna banda la JWTZ. Watawapa maelezo mazuri ya kuhusu jeshi letu shupavu la Tanzania. Makomandoo wetu pia mtawaona. Msikae humu JF kuongopeana!
 
umejuaje kama naamini,she think she knows alot about lots of things,(sijuhi jinsia yako lakin nina maana yangu kutumia she)
Mi nimecriticise credibility ya hii information lakini haimaanishi kwamba najua sana. Ukiona mtu anaanza kuongea statement kama zako ujue ana tatizo. Kwenye dunia ya intellectual thinking tunapo mchallenge mtu haimaanishi kwamba tunajua kuliko huyo mtu, it means kuna loop holes kibao kwenye statement zake zinazofanya anachokielezea kisiaminike. I have an intellectual mind na huwa siamini kila kitu nachoambiwa kwenye internet bila ya kuwepo kwa established metrics zilizotumika to come up with hypothesized facts. Hii information iliyowekwa hapa inakosa mantiki ya kujadiliwa na great thinkers sababu iko very shallow na ipo very subjective na haitoi metrics zilizotumika kuja na hii information. As a Great thinkler siwezi discuss huu upuuzi labda ingepelekwa kwenye gossip column inge make more sense.This is not evidenced based information. Na mimi analyze vitu kisomi zaidi na sio kurukia to unfounding anecdotal evidence that is being subjective. I scrutinize every little detail to deduce facts. We aren't speaking the same language Son. Based na jinsi mtu anavyoongea naweza kumfanyia profiling na kupata a little bit of an understanding kwamba akili yake ipoje. Ila sababu hujui maana ya profiling huwezi kujua nachoongea. I am not trying to disrespect you, ila next time usikurupuke kuvamia vamia tu watu before you have a clear understanding of what they are saying.
 
Kurugenzi ya habari ikulu ndio imekuwa ya kwanza kutoa taarifa,hii ni taarifa imetolewa kwa umma,si ya mtoa mada,wewe fanya ume~attack personality ya mtoa taarifa na si taarifa yenyewe
 
Mkuu wangu pole sana kwasababu siku hizi tunao vijana wengi wanaleta mada za kipuuzi puuzi kama hii. Mtu makini angejiuliza kwanza mapambano Mashariki ya Congo yanashirikisha Vikosi vya aina gani kabla ya kuja na mada za kuchafua Jeshi letu. Kwamba sisi ni wajanja wa kupigana na Wanamgambo wa Kienyeji??

Ni hawa hawa wakiambiwa wajiunge JKT hawataki,wakisikia Jeshi letu linataka kuwapa mafunzo ya kijeshi Jeshi la Somalia hawataki. Wanawaogopa Alshabab! Sasa kama Jeshi ni kiboko kwa nini lisiende maeneo ambayo ni very challenging kama Somalia? Hawana majibu,kazi ni visred vya majungu na umbea kama hiki.
 
Kurugenzi ya habari ikulu ndio imekuwa ya kwanza kutoa taarifa,hii ni taarifa imetolewa kwa umma,si ya mtoa mada,wewe fanya ume~attack personality ya mtoa taarifa na si taarifa yenyewe
Nime attack na personanility ya mtu aliyeileta sababu naye ni kilaza tu kama hiyo kurugenzi ya ikulu. Wakati naanza kuchangia nilianza na credibility ya info. Na nikatoa warning kwamba huelewi ninachongeaa mtu asijibu. Ukakurupuka kama mwendawazimu thata when it got to the personal level. Narudia soma kwa makini nilichoongea kwenye post ya kwanza. Najua hum jamii forums kuna watu wanaongea pumba sana. Sasa kwa kujua upumbavu wataoongea in advance huwa naweka warning kuwua iwajinga wajinga kama hao. na
 
Acheni porojo. Anaeijua Jw ndio aongee. Asieijua,akojoe akalale. Jw huonyesha kwa vitendo na si maneno.
 
Hii imetoka Ikulu kwa Rweyemamu au? Kama ni kweli mbona tunaangaika ni vitu trivial sana
 
No No!,this is totally unfair. #27 was suppose to be taken by KDF special forces baffled by alshabaab during the westgate siege. teh teh

CC. lawmaina78 Buru58 waltham hbuyosh et al.
 
Last edited by a moderator:
Acheni porojo. Anaeijua Jw ndio aongee. Asieijua,akojoe akalale. Jw huonyesha kwa vitendo na si maneno.

Special Weapons And Tactics......SWAT....hahahahaaa....haya mkuu...no comment so far.
 
Walau JWTZ inanifanya nijisikie fahari ya Utanzania wangu....Viva JWTZ!!!!

Cc Moshe Dayan
 
Last edited by a moderator:
Kurugenzi ya habari ikulu ndio imekuwa ya kwanza kutoa taarifa,hii ni taarifa imetolewa kwa umma,si ya mtoa mada,wewe fanya ume~attack personality ya mtoa taarifa na si taarifa yenyewe
Mkuu kumbe ni wale jamaa wa Ikulu. Kama ndio hawa sitashangaa kama hizo taarifa hazina mkono wa Mfaransa kwasababu anafanya biashara fulani na baadhi ya Watawala wetu na pesa za Mgombea wa Kambi ya JK zitatoka huko!
 
Westgate wanaenda na Tanks kwa watu wanne tena wanapiga swala humo ndani.

Wakaishia kutoka na vifuko vyeupe

Mwisho wa siku wanaishia kulipua jengo zima na wakawakosa. Kweli aibu ya mwaka

hahaha swahiba lawmaina78 ukimtamkia maneno haya mbele yake,anaweza kukuchapa kibao.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna nchi isiyokuwa na SWAT isipokuwa inategemeana na terminology inayotumika ktk nchi. Huo ni mkusanyiko wa wataalam wa polisi wenye mafunzo ya kijeshi na silaha. Na inaweza pia kuundwa na watalaam mbalimbali kutoka ktk vyombo vya ulinzi na usalama.
 
dont have time ya kupoteza na debate na mtu hana idea anachoongea mbali kuropoka manane tu apate nafuu ameongea.bure kabisa

narudia tena #27 haijatendewa haki,ilitakiwa iwe ni KDF.kama hutaki basi kakojoe ilale.lol
 
Kuna tofauti kati ya jeshi bora na kikosi bora. Kijeshi, kwa mfano Tanzania ina artillery bora na rada bora kuliko majirani zake ambao wana ndege bora. Sababu ni location ya miji mikuu kutoka mpakani. Ni vigumu kuufikia mji wa Dar kwa artrillery wakati ni rahisi kuitwaa Nairobi au Kampala kwa artillery. Hiyo ni choice ya kimkakati.

Tukirudi kwenye mada, vikosi maalum/elite/special forces ni commandos. Unaweza kuwa nao 5000 tu kwa ajili ya shughuli maalum za kijeshi. Hawa ni wanajeshi wanaoenda kwenye special missions. Tanzania ina special forces zilizotulia na hii inajulikana sasa.
TPDF special forces huwa zinaalikwa SOFEX na huwa zinashindana na elite forces za Europe, asia na America. Huwa kunawekwa mazingira ya kimjini, porini, majini, jangwani n.k na huwa wanaitwa ku-test silaha mpya. Hili msibishe.
halafu, hayo ni maoni ya critics wa mambo ya kijeshi ambao wana interest na masuala haya. Na huchukua data kutokana na mambo mengi ikiwamo missions ambazo special forces imeshinda na missions nyingine ni siri, lakini huwa zinafanywa.

Kwa hiyo msione ajabu nchiu maskini kuwa na vikosi special am bavyo ni highly trained na wamepata fursa ya ku-prove. Inawezekana sana tu na hii haitegemei utajiri wa nchi bali ushupavu wa watu wake.

Kwa nyongeza, waambie kuna kikosi kiko msituni kwa takribani mwezi wa 4 sasa wanajianadaa kwenda .......
 
Back
Top Bottom