Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Waambieni UKAWA wajue...watulizane!!!
Duh hata copy & paste imekushinda? siamin
Wacha kudanganya watu wewe.
Clouds fm wadaku tu, hawana lolote.
Vipindi vyao vingi ni kutongozea watu tu. Na uchafu wa kuharibu jamii.
Jeshi bora wangechoma kambi nzima na kuuwa wananchi bila mpango?
Mabomu wameyahifadhi kama nyanya! Na maafande wenyewe asilimi 90% wavuta bangi. Ukipishana nao macho mekunduu ka nyani kanyimwa ndizi.
Tuombe Mungu tu! Lkn wakija wazee wa gasia hapo bongo hilo jeshi njaa litauwa raia wengi kuliko maadui.
Kama wale wajaluo wa kenya na ile issue ya west gate.
Pole sana mkuu! Nakushauri uendelee kusifia nchi jirani.
Kwa mujibu wa Clouds...hii ni taarifa kutoka kurugenzi ya habari Ikulu....
Ooooops....ngoja nikanywe kahawa!!
You are my biggest foe when it comes to political and religious stances but on this one we are on the same boat,Thanks for making my day!
Hizi ni sifa za kijinga, Nchi inadaiwa trillions 30 deni la taifa...
Dawa Hospitali hakuna, hata CT SCAn katika hospitali za taifa hakuna
chakula tunaagiza nje kama mchele na ngano wakati tuna mashamba...
Ajira ni bomu, ajira 70 wanagombania graduates 10,000
Div 5 za form 4 mass failure
Kuna mengi ya kusema.....
Hizi ni sifa za kijinga, Nchi inadaiwa trillions 30 deni la taifa...
Dawa Hospitali hakuna, hata CT SCAn katika hospitali za taifa hakuna
chakula tunaagiza nje kama mchele na ngano wakati tuna mashamba...
Ajira ni bomu, ajira 70 wanagombania graduates 10,000
Div 5 za form 4 mass failure
Kuna mengi ya kusema.....
Jeshi bora wangechoma kambi nzima na kuuwa wananchi bila mpango?
Mabomu wameyahifadhi kama nyanya! Na maafande wenyewe asilimi 90% wavuta bangi. Ukipishana nao macho mekunduu ka nyani kanyimwa ndizi.
Tuombe Mungu tu! Lkn wakija wazee wa gasia hapo bongo hilo jeshi njaa litauwa raia wengi kuliko maadui.
Kama wale wajaluo wa kenya na ile issue ya west gate.
Yale maonyesho ya watu waliokomaa pale uwanja wa Shamba la bibi, kumbe yametupandisha chati eeh...
tofauti na wengi wanavyojua,tanzania imeanza kutajwa na mitandao mbalimbali kati ya vikosi 35 bora zaidi duniani kwa vifaa bora,mafunzo sahihi na uwezo wa kupigana kwenye mazingira yoyote,dunia imeshangazwa na ufanisi wa jwtz kongo kwani chini ya kapeti rwanda haikukubali kirahisi m23 kushindwa,na ni nchi pekee kutoka africa huku asia ikitoa nchi kadhaa,sasa tanzania inawekwa level moja na seal ya usa,special force ya israel na wakali wengine,
source clouds fm na website mbalimbali