demokrasia inapunguza maendeleo man!!! ebu fikiria kuna pesa inabidi itoke kwa ajili ya mradi flan,lakini eti mpaka bunge lijadili weeeeeeeeeeeeeeeeeeee,wasipofikiana muafaka wanaahirisha mpaka bunge lijalo!!!! wapi na wapi????? kinachoiponza KENYA ni hayo mambo ya demokrasia kuanzia wakati wa UHURU KENYATA na huyu RUTO,lakini wakati wa kuanzia marehemu JOMO KENYATA,DANIEL ARAP MOI,na MWAI KIBAKI,nchi ilipelekeshwa kwa mkono wa chuma ndo manake mambo yalikuwa safi!!!,,,sasa ona tangu,hwa mabrazameni UHURU na RUTO,mambo unayaona?...ok,angalia LIBYA wakati wa GADAFI,angalia RWANDA!!!,,,ata wewe kama una familia kama unataka kufanya jambo,ita mke,watoto wajomba,mabraza na masista alaf mdiscuss uone kama utafuga ata kuku