Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,249
- 79,583
Tuwa-ignore kwa mwaka hivi!Lazima tujue nani ndio mkuu hapa EA, lazima kuwepo na nidhamu ndani ya East Africa, kama ambavyo Ujerumani ndiyo yenye sauti ya mwisho katika EU, ndio sababu EU imetulia hakuna mizozo ya kijinga, kama ambavyo USA ana sauti ya mwisho ndani ya G7, vinginevyo mizozo haitokwisha hapa East Africa.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app