Tanzania yakataa ombi la Kenya la kuomba msamaha kuhusu mzozo wa zuio la ndege za Kenya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
17,852
2,000

MY TAKE: Yale matamshi ya Uhuru Kenyatta kwamba Kenya is a democratic country, our media are free we can't hide anything, not like ET other country which puts thing under the carpet", hayakufaa kabisa kusemwa na rais wa nchi tena hadharani, sitegemei kama Magufuli ataruhusi ndege za Kanya kuingia Tanzania hivi karibuni.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,267
2,000
Kuna vitu vingine ni vya kijinga sasa, kuendelea kulikumbatia limzozo la ajabu ajabu hamna mpango cha msingi maisha yarejee normal business should re operate again ma covid yenye ni janja ya waxungu na nampongeza Jaden ameweza kutumia fursa ametumbua pesa za wazungu vi deadly

Yaan juzzi nimemtazama M7 kapungua mzee wa watu kweli alikuwa anawaza na kuwazua lkn nikimtazama Jaden ako amenenepa
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
3,775

Ile ni mikopo sio pesa ya bure na Wakenya ndio watakaolipa pesa zile kwani imekopeshwa Kenya.
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
17,852
2,000
Kuna vitu vingine ni vya kijinga sasa, kuendelea kulikumbatia limzozo la ajabu ajabu hamna mpango cha msingi maisha yarejee normal business should re operate again ma covid yenye ni janja ya waxungu na nampongeza Jaden ameweza kutumia fursa ametumbua pesa za wazungu vi deadly

Yaan juzzi nimemtazama M7 kapungua mzee wa watu kweli alikuwa anawaza na kuwazua lkn nikimtazama Jaden ako amenenepa
Lazima tujue nani ndio mkuu hapa EA, lazima kuwepo na nidhamu ndani ya East Africa, kama ambavyo Ujerumani ndiyo yenye sauti ya mwisho katika EU, ndio sababu EU imetulia hakuna mizozo ya kijinga, kama ambavyo USA ana sauti ya mwisho ndani ya G7, vinginevyo mizozo haitokwisha hapa East Africa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
nguvusimba

Senior Member
Feb 17, 2020
183
500

Nyie sinamsema ni matajiri kuliko sisi, sasa pandeni hizo ndege zenu wenyewe!!! soko lene tumeshaliziba kwa kuongeza route za rwanda air na ethiopian airlines ambazo hawatuweki quaranteen, MASIKINI UNAMGOMEA TAJIRI YAKO POOR KENYANS
 
Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,659
2,000
MY TAKE: Yale matamshi ya Uhuru Kenyatta kwamba Kenya is a democratic country, our media are free we can't hide anything, not like ET other country which puts thing under the carpet", hayakufaa kabisa kusemwa na rais wa nchi tena hadharani, sitegemei kama Magufuli ataruhusi ndege za Kanya kuingia Tanzania hivi karibuni.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app

Wamazidi fitina na maringo. Sasa wayaone wao wenyewe!
 
nguvusimba

Senior Member
Feb 17, 2020
183
500
Lazima tujue nani ndio mkuu hapa EA, lazima kuwepo na nidhamu ndani ya East Africa, kama ambavyo Ujerumani ndiyo yenye sauti ya mwisho katika EU, ndio sababu EU imetulia hakuna mizozo ya kijinga, kama ambavyo USA ana sauti ya mwisho ndani ya G7, vinginevyo mizozo haitokwisha hapa East Africa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
TATIZO mkenya anataka kukinga mafuriko kwa mkono hahahahhahahaha
 
Shambaboy jogoli

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
837
1,000
MY TAKE: Yale matamshi ya Uhuru Kenyatta kwamba Kenya is a democratic country, our media are free we can't hide anything, not like ET other country which puts thing under the carpet", hayakufaa kabisa kusemwa na rais wa nchi tena hadharani, sitegemei kama Magufuli ataruhusi ndege za Kanya kuingia Tanzania hivi karibuni.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
T

Wakenya bwana na demokrasia yao ya kuiga! Walichosahau Africa tuna utaratibu wetu wa kuishi! Viva magu viva tulichelewa sana! Haiwezekani korona ilipo anzia eti wako vizuri, sisi majirani eti tuna korona, hiyo akili ni sawa na matope!
 
MTOCHORO

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
3,618
2,000
Unazuia ndege halafu wananunua Mazao Brazil wewe Wananchi wako wanabaki Maskini.
 
ighaghe

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
1,934
2,000
Nchi kubishana na kuzibiana fursa zenye manufaa kwa wananchi wake ni utoto na ujinga.

Kama ni lazima kufanya huu utoto basi nasimama upande wa nchi yangu kuwanyoosha hawa majirani. Uzuri ni kuwa utoto na ujinga tz tunauweza sana, majirani watanyooka tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom